Video: Hayati Magufuli alitupa siri kwanini alipokuwepo hapakuwa na mgao, ni kwanini tunasahau haraka namna hii?

Video: Hayati Magufuli alitupa siri kwanini alipokuwepo hapakuwa na mgao, ni kwanini tunasahau haraka namna hii?

Duu, sorry, sina muda wa kuanza kujadili mambo haya.
🤡 Endelea kuiota tu China ila ni mfupa mgumu ambao hautauweza kamwe watu wajinga kama nyie mnataka kuwa kama China unafikiri ni rahisi si maafa ya kutisha yatatokea.
 
Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe...

View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==

Sawa
Tumepoteza mwanaume wa shoka na mzalendo wa dhati na rais na mtetezi wa wanyonge
 
Umeona sasa ulivyo mjinga kama unashindwa kufahamu kuwa China inaongozwa na atheist party utaweza vipi kufahamu mambo mengine ya muhimu ya msingi kama haya madogo yana kushinda.

Unafahamu hata Karl Marx anaplay nafasi gani ya ukana Mungu katika vyama vya kikomunisti.

Ukomunisti unaufahamu kweli au unauchukulia kiwepesi wepesi.

Turudi kwenye swali.
Upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?
Kakojoe ukalale, mimi sio level yako.
Tao, Budha, n.k zote ni imani sawa na wewe unaoabudu dini za mashariki ya kati.
Tatizo umekaririshwa kuwa mtu akiabudu nje ya dini hizo ni mpagani.
Ajabu hata hizo dini zako pia zinapingana.
Ukristo na uislamu unapingana.
Ukristo na ukristo unapingana.
Uislamu na uislamu unapingana.
Jifunze kuziishi na kuzielewa imani za wengine.
All in all tunataka kiongozi anaechukua hatua kali kwa wabadhirifu wa mali za umma
 
🤡 Endelea kuiota tu China ila ni mfupa mgumu ambao hautauweza kamwe watu wajinga kama nyie mnataka kuwa kama China unafikiri ni rahisi si maafa ya kutisha yatatokea.

Sawa ewe muerevu, endelea kuota kama hivyo ulivyo, maana unaishi katika ulimwengu wa kujikataa kwamba sisi kamwe hatuwezi kutoka hapa tulipo.
 
Kakojoe ukalale, mimi sio level yako.
Tao, Budha, n.k zote ni imani sawa na wewe unaoabudu dini za mashariki ya kati.
Tatizo umekaribishwa kuwa mtu akiabudu nje ya dini hizo ni mpagani.
Ajabu hata hizo dini zako pia zinapingana.
Ukristo na uislamu unapingana.
Ukristo na ukristo unapingana.
Uislamu na uislamu unapingana.
Jifunze kuziishi na kuzielewa imani za wengine.
Swali mpaka sasa hujajibu au haufahamu chama kinacho ongoza China ?.

Swali

Upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?
 
Sawa ewe muerevu, endelea kuota kama hivyo ulivyo, maana unaishi katika ulimwengu wa kujikataa kwamba sisi kamwe hatuwezi kutoka hapa tulipo.
Ndio hamuwezi kwanza matahira ni wengi sana unataka niseme mnaweza kukufurahisha wewe ?
 
Tulichukulia kama porojo alipokuwa anasema haya. Mwaka huu jenereta zimeuza balaa.
Na wengi wasichozingatia ni kuwa wanawaza zikisemwa jenereta basi ni hizi tunazowasha saluni na kunyolea,

hapana, hizo ni just in case tu, majenereta ni yale yanayowekwa kwenye maghorofa na viwanda ambapo ukinunua moja tu, hivi vidogo vya saluni na kibanda umiza unapata hata 100

Zile ndio wauza majenereta, wana target maana zina mpunga mrefu, na kwa connection walizonazo basi taasisi zinanunua kwao directly kwa bei ya kushangaza
 
🐒🐒🐒
gNe7h.jpg
 
Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe...

View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==

Mwamba 🙏🙏
 
Back
Top Bottom