Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ni kiongozi wa mfano kwa chadema na wanachama wake!Kama unamuonea wivu kwa kufaidi wewe nae nenda ukafaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kiongozi wa mfano kwa chadema na wanachama wake!Kama unamuonea wivu kwa kufaidi wewe nae nenda ukafaidi.
HApo mwisho umesahau Va mojaVaaa vava vava vavavayo
Kunenga ndo nini mkuu?Aliienga kwa aslimia 15% na alonenga kwa asilimia,85% ni nani wa kumsifu?
Endeleeni kujitoa ufahamu, baada ya miaka kumi matokeo mtayaona tuombe Mungu atupe uhai. Mtakuja kuzisema hizo sheria kama zinamslahi kwa nchi au laLakini Samia haibi kabisa swala la uwekezaji au Ubia ni swala la Kisheria
Ifahamike pia kuwa hiyo movie ya Tarzan raia wameshaisahau kabisaHakuna mradi wowote ulioanzisha na Miss Deaf Frog, kila alichokimalizia kilishawekewa misingi na Magu.
Alivyoasisi Frog ni kuuza vitu, kupandisha gharama za maisha na kuhudhuria kila mualiko duniani kama Mc wa shughuli.
Bila ya miradi iliyoanzishwa na Magu Chura angebakiwa na nakala ya Movie yake ya wanyama pori kama Tarzan.
Huu ndo ukweli mchungu kwa wanakizimkazi...1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.
Mengine yote porojo.
Ishu hapa ni ujasiri wa kuasisi hiyo miradi.Lakini hebu tuwe wakweli mtu kachukua mradi ukiwa 35%,
Hivi unajua hii hata nusu ya Mradi ilikuwa bado?
Mama ni kiongozi mzuri sana sema kila siku nasema shida iko kwa alio waamini wapige kazi ndo wanamwangusha sana tena sio kidogo.Wanakuja na stori za mama anaupiga mwingi kumsifia kinafiki uku wanamwangusha na kumpaka matope.Mama kama angepata watu kumi km makonda sidhani hata kama tungekua tunapiga kelele.Uongo mbaya, Samia kajitahidi sana kukamilisha miradi ya kimkakati ya Magufuli. Kama asingekomaa vya kutosha bwawa la Umeme la Stieglers lisingekamilika na Reli ya SGR isingepata push ya kutosha.
Hata ndege ameendelea kuleta nyingi tu!
Apewe maua yake!
Bi Mkubwa popote ulipo pokea pongezi kutoka kwangu ( Missile of the Nation) ila sasa:
1. Acha kuingia mikataba mibovu ya kugawa rasilimali za nchi kama vile ardhi, bandari, misitu etc
2. Punguza safari
3. Zuia mara moja mambo ya wasiojulikana yaliyoanza kurejea, yanakuchafua.
4. Tuletee katiba nzuri ili iwe ni legacy yako bora
Samia mwamba sana hapa Duniani kwa hekima na akili nyingi
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,
Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?
Sahihi hawa wengi wao si waaminifuMama ni kiongozi mzuri sana sema kila siku nasema shida iko kwa alio waamini wapige kazi ndo wanamwangusha sana tena sio kidogo.Wanakuja na stori za mama anaupiga mwingi kumsifia kinafiki uku wanamwangusha na kumpaka matope.Mama kama angepata watu kumi km makonda sidhani hata kama tungekua tunapiga kelele.
Mwendo kasi DART sio mradi wa taifa?Acheni ujinga wenu enyi watanzania!!! Hata wewe na ujinga wako ukiwa rais leo unafikiri miradi ya Taifa itakufa?
Mbona mwendo kasi inafanya Kazi hata Mimi Leo nimeziona tatu Mbezi?Mwendo kasi DART sio mradi wa taifa?
Tuna dili na viumbe hai ...miaka 3 ya samia imeonyesha uwezo wake1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.
Mengine yote porojo.
Hapo umeongea kama mtanzania ..hawa kenge wengine wanaongea kama wao ni wana siasaUongo mbaya, Samia kajitahidi sana kukamilisha miradi ya kimkakati ya Magufuli. Kama asingekomaa vya kutosha bwawa la Umeme la Stieglers lisingekamilika na Reli ya SGR isingepata push ya kutosha.
Hata ndege ameendelea kuleta nyingi tu!
Apewe maua yake!
Bi Mkubwa popote ulipo pokea pongezi kutoka kwangu ( Missile of the Nation) ila sasa:
1. Acha kuingia mikataba mibovu ya kugawa rasilimali za nchi kama vile ardhi, bandari, misitu etc
2. Punguza safari
3. Zuia mara moja mambo ya wasiojulikana yaliyoanza kurejea, yanakuchafua.
4. Tuletee katiba nzuri ili iwe ni legacy yako bora
Mimi ningeiweka hivi. Kila awamu imefanya mambo fulani ya maendeleo. Ni kama A atayarishe shamba (afyeke pori), alime na apande mbegu, B apalilie na kumwagilia, na kurudishia mbegu ambazo hazikuota, C atunze miche, afanye pruning na anyunyizie dawa ya kuua wadudu, D avune na kutunza kwenye ghala, E auze na kuweka fedha benki na D atumie hizo fedha kufanya maendeleo. Hapa utaona kwamba kila awamu ni muhimu. Ili ionekane kwamba viongozi wote hao wamefanya kazi nzuri tungetumia jina "serikali ya Tanzania" imefanya hivi. Kwa nini? Kwa sababu kuna mchango wa awamu zilizotangulia na kila awamu imejitahidi kwa kiasi chake. Awamu moja inaweza kufanya vizuri zaidi katika jambo X na awamu nyingine ikafanya vizuri zaidi katika jambo Y. Kwa mfano, awamu ya kwanza ilifanya vizuri zaidi katika afya na elimu - watoto wote (wa maskini na matajiri) waliweza kutibiwa na kusoma bure (kwa usawa).
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,
Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?
Haha kabisa aiseee,Rais Samia, watanzania wote wakiwemo walioasisi wazo hilo wanastahili pongezi.
Haya mabishano ya nani ni nani katika miradi inayotumia kodi (jasho la watanzania wote) ni ujuha tu.
Kila mmoja amechangia kwenye nafasi yake.
Tunahitaji watu waondokane na utumwa wa fikra, wawe huru kwa mustakabali mwema wa taifa.
Tunatakiwa tuheshimu viongozi, wananchi wote, kwa nafasi zao.Haha kabisa aiseee,
Habari za kusema fulani kajenga as if katoa hela mfukon mwake ni ujuha