Video: Kama wazazi tumejenga mazoea na watoto wetu wa kike namna hii, tutawaacha salama kweli!?

Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
View attachment 2828407

Huwezi chukulia serious vichaa, nina mtoto wa miaka 12, kuna baadhi ya ukaribu kama binti yangu hata nikiutaka anaonekana kutoufurahia.
 
Hapo ni mambo ya mtoto wa under 10 mtoto akishavunja ungo kukaribiana karibiana na dingi sio poa!
hata chini ya hapo,kuna mazoea kati ya baba na binti,mama na kijana,baba na kijana mama na binti yanatakiwa yawe na mpaka.

ndio maana huko nyumbani vijijini,kama mama ana wasi wasi na watoto wake wa kike anawapeleka kwa shangazi yao wakaguliwe.

baba unachezaje kipuuzi puuzi na mwanao wa kike 6-9 yrs!!!mara anakushika shika amegusa abdala kazumari huko chini,mara amekalia abdala ukiwa na bukta yeye na sketi fupi hizi wanazovaa watoto wa wanaoita DADDIII,na unaona ni sawa tu[emoji16][emoji16],NO,marufuku.
 
Six years angalau ni mtoto bado anaweza kukurukia rukia maana mwenyewe bado haelewi kitu
 
Back
Top Bottom