Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini nimbebe binti mkubwa hivyo afu tako linatepweta kavaa bukta kama hivyo!Kwa kumbeb tu...no! Lazima uwe na roho Hilo!
Bongo movieAisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
View attachment 2828407
Hao waigizaji.Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
View attachment 2828407
watajua wenyewe bhanAisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
View attachment 2828407
Unabebaje zigo hilo, halafu akili ipo kichwani ubooo0 hauna akili ni unaenda na hisia.Kwa kumbeb tu...no! Lazima uwe na roho Hilo!
Wanachofanya hawa ni "Matumizi Mabaya ya Akili."Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
View attachment 2828407
Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
View attachment 2828407
hata chini ya hapo,kuna mazoea kati ya baba na binti,mama na kijana,baba na kijana mama na binti yanatakiwa yawe na mpaka.Hapo ni mambo ya mtoto wa under 10 mtoto akishavunja ungo kukaribiana karibiana na dingi sio poa!
Six years angalau ni mtoto bado anaweza kukurukia rukia maana mwenyewe bado haelewi kituhata chini ya hapo,kuna mazoea kati ya baba na binti,mama na kijana,baba na kijana mama na binti yanatakiwa yawe na mpaka.
ndio maana huko nyumbani vijijini,kama mama ana wasi wasi na watoto wake wa kike anawapeleka kwa shangazi yao wakaguliwe.
baba unachezaje kipuuzi puuzi na mwanao wa kike 6-9 yrs!!!mara anakushika shika amegusa abdala kazumari huko chini,mara amekalia abdala ukiwa na bukta yeye na sketi fupi hizi wanazovaa watoto wa wanaoita DADDIII,na unaona ni sawa tu[emoji16][emoji16],NO,marufuku.