Nimekuomba utoe ufanuzi juu ya hiyo kauli ya kiongozi huyo wa ccm.Ili ujue maana lazima uangalie maneno.
Maneno ndo yale kila mtu ana tafsiri yake,wasiokuwa upande wake wanatafsiri kivyake wengine wanasema vingine.
Sio kutetea uovu.
Kwanza mtoa mada amuogope Mungu kwa kumuongezea huyo mama neno ambalo hajalisema.
Kumzushia muovu pia ni uovu,kumsingizia mmbea maneno ambayo hajayasema pia ni uovu mkuu.
Siwezi kufafanua kwa sababu mimi sio msemaji,siwezi kujua makusudio.Nimekuomba utoe ufanuzi juu ya hiyo kauli ya kiongozi huyo wa ccm.
Nanukuu: " ushindi wa ccm hauna Mungu akipenda. hili mnalijua? Eehe ushindi wa ccm hamna mpaka Mungu apende, aahaa; Mungu akijalia, aahaa; ushindi wa ccm ni nini? ni lazima" mwisho wa kunukuu.
Ili ujue maana lazima uangalie maneno.
Maneno ndo yale kila mtu ana tafsiri yake,wasiokuwa upande wake wanatafsiri kivyake wengine wanasema vingine.
Sio kutetea uovu.
Kwanza mtoa mada amuogope Mungu kwa kumuongezea huyo mama neno ambalo hajalisema.
Kumzushia muovu pia ni uovu,kumsingizia mmbea maneno ambayo hajayasema pia ni uovu mkuu.
Siwezi kufafanua kwa sababu mimi sio msemaji,siwezi kujua makusudio.
Ninachokipinga hapo ni suala la kuongeza chumvi,kwa nini aongeze chumvi ?
Wewe ndo umesema aliyoyasema yeye,sasa maadamu umenukuu kama alivyosema mimi siwezi kutoa ufafanuzi kwa sababu sio msemaji.
Nilichokuwa najaribu kusema kuwa siungi mkono kuongeza chumvi kwa ambayo mtu kayasema.
Kuyarudia hata mara kumi maneno tata haina maana utata wake utakwisha."Kwa Sababu Ushindi wa CCM hauna Mungu akipenda ,hili mnalijua !?"..(Ndio) ..akaendelea "Eeeh Ushindi wa CCM hauna mpaka Mungu apendeeh aaaah Mungu akijaalia aaahh ushindi wa CCM ni niniii nii laazimaa.Ushindi wa CCM ni laazima "(hapa wakaitikia wote)"Eeeh na kushinda ni lazima hata iweje.Kwa hiyo sio Mungu akipenda".kimya kidogo kisha aka endelea "Eeeeeh kushinda ni lazima na hakuna Munguuu akipenda "(wakaitikia kwa pamoja)
Nime nukuuu tu hayo Maneno ,wewe umeyaelewaje Mkuu !?.Maana huyo mwana Mama ameyarudia zaidi ya mara mbili maneno yake ya kuwa CCM itadhinda na hakuna cha Mungu akipenda.
"MUNGU APENDE AU ASIPENDE"Chumvi ipi imeongezwa Mkuu !?
Embu twende taratibu neno kwa neno. Huyo mama kasema kuwa "ushindi wa ccm hauna Mungu akipenda. Je hii kauli mwenzetu umeielewaje?"MUNGU APENDE AU ASIPENDE"
wapi huyo mama kasema Mungu apende au ASIPENDE ?
Viongozi wengi wa CCM ni washirikina. Humtaja Mungu kwa nia ya kuwapumbaza wacha Mungu.Hakusema "Mungu akipenda au asipende" hapo umetia chumvi japo kuwa sisapoti alichosema, ila na wewe sikusapoti kwa kuongeza chumvi kwenye maneno yake.
Kuyarudia hata mara kumi maneno tata haina maana utata wake utakwisha.
Nilichopinga mimi ni mtoa mada kuomgeza chumvi kwenye maneno ya huyo mama.
Wewe unaamini kwamba zinaa inatokea kwa sababu Mungu anapenda itokee ?
Mimi namuomba Mungu amsamehe kama alikusudia kusema kama ambavyo watu wamechukulia.Viongozi wengi wa CCM ni washirikina. Humtaja Mungu kwa nia ya kuwapumbaza wacha Mungu.
Mtu ambaye uongozi wake ameupata baada ya kuzunguka sana kwa wachawi kamwe hawezi kuyatambua mamlaka ya Mumgu yasiyo na mipaka.
Huyu anaishi katika ufalme wa shetani. Kuna siku Mumgu atamwonesha kuwa ni mkuu kuliko shetani, ambaye anamtegemea.
Namwomba Mungu mwenye mamlaka yote, Duniani na mbinguni/ahera amdhihirishie hata kabla ya mwisho wa maisha yake yakuwepo hapa Duniani, kuwa Yeye hadhihakiwi bali yeye ndiye pekee huabudiwa, wala siyo CCM au shetani anayemwabudu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hayo hayanihusu mkuu.Magonjwa ni Matokeo Mkuu ,huyu Mama ameteleza na kwa tafsiri tu CCM huwa inashinda kwa njia ambazo ni batili.Tume ipo mikononi mwao/Majeshi ni yao ni Nchi ipo Mikononi mwao hawategemei njia halali walizo tuwekea (Vyama pinzani) kushinda Uchaguzi.Matokeo ya mfumo mmbovu yalio simikwa na CCM ndio yana wapatia kiburi cha namna hii.
Wala usipate tabu kujibizana na sisi hapa jukwaani ,ila kumbuka huu huu mfumo mmbovu unao wanyonga Wapinzani kuna Siku tu utakuja kuwanyonga CCM na wapambe wao kama wewe.
Aliteleza tu msameheni - siku zote kufikiria kabla ya kutenda/ kutamka huwa ni jambo zuri
Hata hivyo ni wazi kuwa CCM lazima ishinde
Blaspheming! She l
Kwani yule dada ni nani na kilikuwa kikao gani?.Matamshi yana maruweruwe ya ulevi.Katika hali hii huenda madhara kwake yakawa madogo lakini na walioitikia vibwagizo hawatotoka bure bure kwa sababu walikuwa na akili zao timamu.Ipo nafasi ya kufuatwa yule mama na kuonywa vikali na awache ulevi.Ama iwapo alikuwa na akili timamu na kwa jinsi alivyorudia yatamkuta makubwa na ni wajibu wa CCM kujivua na kauli zake ili madhara yasipenye kwenye chama kizima.Mimi namuomba Mungu amsamehe kama alikusudia kusema kama ambavyo watu wamechukulia.
Mungu amsamehe,hakika huyu mama anastahiki kuombewa msamaha.
Ikiwa firauni alijiita Mungu lakini Mungu akamtuma mussa akamuambia nenda kwa firauni tena ukamuambie maneno malaini huwenda akawaidhika,sembuse huyu mama ambaye hajafikia uovu wa firauni hata nusu ?
Ninachoona huyu mama anaombewa mabaya kwa sababu ya Uccm wake hayo maneno ni sababu tu
Hata CCM kushinda huu uchaguzi ni lazima.Kama hauamini subiria uchaguzi ukifika kama utakuwa hai (maana sikatai kufa ni lazima),ili ushuhudie.Et lazma, lazma ni kufa tu
Mungu anapanga mipango yake na wewe kwamba unajua kuwa yatamkuta makubwa sana sio ?Kwani yule dada ni nani na kilikuwa kikao gani?.Matamshi yana maruweruwe ya ulevi.Katika hali hii huenda madhara kwake yakawa madogo lakini na walioitikia vibwagizo hawatotoka bure bure kwa sababu walikuwa na akili zao timamu.Ipo nafasi ya kufuatwa yule mama na kuonywa vikali na awache ulevi.Ama iwapo alikuwa na akili timamu na kwa jinsi alivyorudia yatamkuta makubwa na ni wajibu wa CCM kujivua na kauli zake ili madhara yasipenye kwenye chama kizima.
Mungu ni msamehevu sana lakini mpaka huyo mkosaji aone amekosea na kutubu kwake kuwe kwa dhati na hadharani si kama anavyofanya yule mwimbaji wa mipasho.Mungu anapanga mipango yake na wewe kwamba unajua kuwa yatamkuta makubwa sana sio ?
Mbona huangalii kuwa pengine Mungu atamsamehe kama ataona emkosea ?