Uchaguzi 2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

Mungu ni msamehevu sana lakini mpaka huyo mkosaji aone amekosea na kutubu kwake kuwe kwa dhati na hadharani si kama anavyofanya yule mwimbaji wa mipasho.
Sio kweli ndugu.

Watu wanazini na wanaomba toba baada ya muda mrwfu tena kwa siri na sio dhahir kama unavyotaka kutuaminisha.

Kiufupi ukimkosea Mungu hadharani basi anaweza kuksamehe sirini kwa sababu hata ukiwa mbele za watu unayemkosea ni Mungu na sio watu kama huyo mama inavyosemwa.
 
Ona sasa , mshahamia TISS. Kwa nini mnapenda kuchanganya mambo? TISS imekujaje sasa hapa.
Wavurugaji mnayaweza haswa. Na matusi juu
Acha ujinga!
TISS unafikiri ni siri sana kufahamu kuwa TISS wako bize kuhakikisha CCM inashinda kwa njia haramu!
 
Acha ujinga!
TISS unafikiri ni siri sana kufahamu kuwa TISS wako bize kuhakikisha CCM inashinda kwa njia haramu!

Una jazba kwa sababu ya ujinga na upumbavu wako.
TISS wanapiga kura ? Au wanahebu kura au wanakuwa mawakala? Fala wewe.
Tulia tuwashughulikie
 

Endapo kutatokea tatizo litakalosababisha viongozi wapelekwe The Hague, huyo mama atakuwa mmoja wao.
Mark my words.

Kuna watu wanadhani wana hati miliki ya kutawala Tanzania milele.

Huo ndio unaoitwa ulevi.

Ulevi wa madaraka.
 
Kweny
 
Kwanza mimi siyo mwalimu wa lugha ila ninapenda sana lugha.

Pili,huyo aliyeandika au kusema hivyo kama ni kweli, basi akae akijua aliyoyasema hayana maana yoyote.

Tatu, ukiona jambo lolote limetokea ujue Mola ametaka litokee, na ukiona halijatokea ujue kadhalika hajataka litokee. Kwahiyo Mola anafanya analo taka kwa hekima zake.

Nne, Mola wetu hapendi uovu na maovu, ila hurusu yatokee, kwahiyo, Allah hurusu jambo litokee hata kama halipendi, ila ni maamuzi yake yeye.

Ahsante.
 
Kwa kipindi hiki hayo maneno ni kawaida sana,kila mtu anajisemea chamsingi havunji sheria.....usipate shida cos kamkataa Mungu sijui MUNGU.......inawezekana anamiungu yake
 
Hakusema "Mungu akipenda au asipende" hapo umetia chumvi japo kuwa sisapoti alichosema, ila na wewe sikusapoti kwa kuongeza chumvi kwenye maneno yake.
"Ushindi wa CCM ni lazima, hata iweje. Kwa hiyo sio mungu akipenda".
Kauli hii umeihelewa vipi kiongozi?
 
Nadhani kuna watu ndani ya CCM hata wao wenyewe wamechokana. M/kiti wa CCM anasisitiza kila siku kumtanguliza mungu kwa kila jambo, lakini anao waongoza ndani ya chama kuna ambao kwa bahati mbaya ama ulevi wa madaraka wanadharau uwezo wa mungu. Sasa kwa sarakasi zinazoendelea kwenye kampeni za uchaguzi ukichanganya na kauli kama hizi nani ataamiini kwamba CCM inashinda ki halali?
 
Seema usemavyo,,ila Usipende kumtaja Mungu usiyejua utendaji wake,,maana yeye huua na kuhuisha,,analohamua mwanadamu hawezi kuzuia
 
Una jazba kwa sababu ya ujinga na upumbavu wako.
TISS wanapiga kura ? Au wanahebu kura au wanakuwa mawakala? Fala wewe.
Tulia tuwashughulikie
Wabaya wa maendeleo ya kweli ya taifa letu mshajulikana.

Mmeacha kazi zenu za msingi mnahangaika na huyo mwendawazimu wa CCM
 
Kuna yule Kada lialia wa CCM anayejiita mwanaharakati huru alisema ili uwe mwanaccm mzuri lazima uwe na PhD ya unafiki ndio kama hiyo hapo..
 
Kuna yule Kada lialia wa CCM anayejiita mwanaharakati huru alisema ili uwe mwanaccm mzuri lazima uwe na PhD ya unafiki ndio kama hiyo hapo..

Hayo ya ujinga yapo huko kwenu sasa PhD ya unafiki inasonewa chuo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…