Video: Kutoa nafasi ya mapumziko (ceasefire) ni kuwapa zawadi Hamas. Mapumziko hayatakiwi mpaka zoezi likamilike

Video: Kutoa nafasi ya mapumziko (ceasefire) ni kuwapa zawadi Hamas. Mapumziko hayatakiwi mpaka zoezi likamilike

Mtu akihemkwa na kiburi kikimpanda ndivyo anavyokua.Anaona aibu kurudi nyuma.Kisingizio huwa watu wananionaje mimi nikirudi nyuma.
Bahari mabaya kwake hizo huwa ni dalili za kifo chake.Marekani na Israel wana tamaa za fisi kuwa wataimaliza Hamas na Palestina yote halafu watapata nafasi kuendeleza mipango yao ya kuitawala dunia na kuleta ufisadi zaidi.
Ikiwa watafanikiwa kuishika Gaza basi wakae mkao wa kuangamia wao na vibaraka wao wa mashariki ya kati.
Tulia dawa iwaingie. Si mlichokoza nyuki wenyewe huku mkiimba alawahkbar
 
Ndege zimeanza kuangushwa we lala tu, mtakuja kuomba wenyewe vita isimamishwe 😄
Ulitegemea Waisraeli wasishambuliwe na kuuwawa! Ile ni vita hata wao wanapoteza ila hamna namna lazima wajitoe mhanga.
Kupambana na magaid sio shughuli ndogo
 
inaumiza sana kwamba wamekufa bila kumpokea Yesu, wameenda motoni moja kwa moja.
[emoji32][emoji32][emoji32] motoni tena mkuu? Sio peponi wapewe wanawake bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe (visungura)?
 
[emoji32][emoji32][emoji32] motoni tena mkuu? Sio peponi wapewe wanawake bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe (visungura)?
wamekufa bila kumkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozo wa maisha yao, break ya kwanza ni jehanum. Mungu hata hivyo hafurahii kifo cha mwenye dhambi, anawaagiza watu wote waifikilie toba, wabadilike, waokoke, anatuvumilia sana, anatamani tubadilike. Heri wafu wafao katika Bwana.
 
Israel imetangaza vita. Dunia nzima imejua hilo.
Hao wanaojiita Hamas kwanini wasingeenda mpkan wakawa wanapigana vita ana kwa ana ila matokeo yake wamekimbia mashimoni na kuwaacha wananchi?
Hawaogopi ila vita inahitaji akili. Hao siyo km wapiganaji wa kigaidi wanaokimbilia mashimoni.
Gaidi anapigwa kidogo kidogo unaanza na kukata kidole, mkono, miguu, unatoa jicho n.k yaani anakufa kwa maumivu.
Angalia magofu waliyoachiwa? Hao sidhani km watathubutu tena kufanya ugaidi kwasababu walikuwa wanategemea Israel hawatafanya shambulizi kwa wananchi ila wamegundua hata wananchi nao wanakula shaba na nyumba kuwa magofu.
Kwani vita ni kupigana ngumi we unaonyesha kweli chizi, hivi Hamasi angekuwa na Air force kama F15 au F16 Israel hata angesogea hapo mpakani
 
inaumiza sana kwamba wamekufa bila kumpokea Yesu, wameenda motoni moja kwa moja.
Vipi kuhusu wayahudi? Au Wayahudi hawana haja ya kumpokea yesu wao wanaenda moja kwa moja peponi?
 
Achana na vidagaa vilivyowateka wabongo wenzetu kwanza. Kuna hawa wakurungwa washatangulizwa mbele ya hakiView attachment 2798441
Palestinian group Hamas said Tuesday that its fighters had killed an Israeli soldier and destroyed several armored vehicles in the Gaza Strip. “Our fighters engaged in clashes with Israeli forces northwest of Gaza City,” the group's armed wing, the Al-Qassam Brigades, said in a statement.
 
Ona ulivyo kilaza [emoji23][emoji23][emoji23] unaleta habari bila source.story za vijiweni. Anyway vipi umewasiliana na hao magaidi wawaache huru vijana wetu wa kiTanzania?
 
Mama Hillary Clinton nae anasisitiza muda huu hakuna mambo ya cease fire, hii imezoeleka kuwa zawadi kwa Hamas kujipanga upya, Kwa sasa walichokianzisha ni mpaka kimalizike.

View attachment 2798399
Muuaji tu huyo Kikongwe....

Blood thirsty killers, wanatoa kafara kwa kuua Wapalestina wema wa Gaza.
 
Kuna watu hamjitambui aliyekwambia Hamas ndio Palestina nani? Kuna Palestinians zaidi ya Million 2 Gaza pekee bado westbank na Jordan a total of 3 million and counting. Humo Israel pekee kuna Palestinians 1.5 Million!! Kwahiyo hata Hamas ikiisha itazaliwa kundi jingine. So walichokianzisha hakimaliziki hadi wapate haki yao.
Kabisa mkuu, tatizo watu wanasahau kuwa huu mzozo haujaanza October 7 2023 tu kwa shambulio la Hamas kumbe ni mwendelezo tu wa mgogoro wenye miaka 75.
 
Tulia wewe
Uzi wangu mods wamepita nao nyambafu zao ,ulikuwa unadhalilika wiki hii sijui nani aliuripoti wakati nilitumia mbinu ya kupelekea jukwaa la jokes na kuandika kimasihara ili usifutwe.
 
Uzi wangu mods wamepita nao nyambafu zao ,ulikuwa unadhalilika wiki hii sijui nani aliuripoti wakati nilitumia mbinu ya kupelekea jukwaa la jokes na kuandika kimasihara ili usifutwe.
Am back. Ila adriz Leo kwa mbali nimeanza kuwatetea wapalestina kwasababu nilibaguliwa supermarket. Nikajisikia vibaya.

Nimerudi ghetto mchovu. Nalala kesho nikiamka nitaleta uzi.
 
Am back. Ila adriz Leo kwa mbali nimeanza kuwatetea wapalestina kwasababu nilibaguliwa supermarket. Nikajisikia vibaya.

Nimerudi ghetto mchovu. Nalala kesho nikiamka nitaleta uzi.
😂🤣🤣🤣🙌😆☝️ usisahau kunitag.

Halafu umefunga profile lako maana siwezi kutafuta nyuzi zako ,maana nausaka ule uzi wako wa Waafrika wapo tayari kusapoti Israel noisome tena maana unachekesha sana haswa zile comments za kushambuliwa.

Niwekee link au nitag niupitie tena.
 
Back
Top Bottom