Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia dawa iwaingie. Si mlichokoza nyuki wenyewe huku mkiimba alawahkbarMtu akihemkwa na kiburi kikimpanda ndivyo anavyokua.Anaona aibu kurudi nyuma.Kisingizio huwa watu wananionaje mimi nikirudi nyuma.
Bahari mabaya kwake hizo huwa ni dalili za kifo chake.Marekani na Israel wana tamaa za fisi kuwa wataimaliza Hamas na Palestina yote halafu watapata nafasi kuendeleza mipango yao ya kuitawala dunia na kuleta ufisadi zaidi.
Ikiwa watafanikiwa kuishika Gaza basi wakae mkao wa kuangamia wao na vibaraka wao wa mashariki ya kati.
Ulitegemea Waisraeli wasishambuliwe na kuuwawa! Ile ni vita hata wao wanapoteza ila hamna namna lazima wajitoe mhanga.Ndege zimeanza kuangushwa we lala tu, mtakuja kuomba wenyewe vita isimamishwe 😄
inaumiza sana kwamba wamekufa bila kumpokea Yesu, wameenda motoni moja kwa moja.Achana na vidagaa vilivyowateka wabongo wenzetu kwanza. Kuna hawa wakurungwa washatangulizwa mbele ya hakiView attachment 2798441
[emoji32][emoji32][emoji32] motoni tena mkuu? Sio peponi wapewe wanawake bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe (visungura)?inaumiza sana kwamba wamekufa bila kumpokea Yesu, wameenda motoni moja kwa moja.
wamekufa bila kumkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozo wa maisha yao, break ya kwanza ni jehanum. Mungu hata hivyo hafurahii kifo cha mwenye dhambi, anawaagiza watu wote waifikilie toba, wabadilike, waokoke, anatuvumilia sana, anatamani tubadilike. Heri wafu wafao katika Bwana.[emoji32][emoji32][emoji32] motoni tena mkuu? Sio peponi wapewe wanawake bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe (visungura)?
Kwani vita ni kupigana ngumi we unaonyesha kweli chizi, hivi Hamasi angekuwa na Air force kama F15 au F16 Israel hata angesogea hapo mpakaniIsrael imetangaza vita. Dunia nzima imejua hilo.
Hao wanaojiita Hamas kwanini wasingeenda mpkan wakawa wanapigana vita ana kwa ana ila matokeo yake wamekimbia mashimoni na kuwaacha wananchi?
Hawaogopi ila vita inahitaji akili. Hao siyo km wapiganaji wa kigaidi wanaokimbilia mashimoni.
Gaidi anapigwa kidogo kidogo unaanza na kukata kidole, mkono, miguu, unatoa jicho n.k yaani anakufa kwa maumivu.
Angalia magofu waliyoachiwa? Hao sidhani km watathubutu tena kufanya ugaidi kwasababu walikuwa wanategemea Israel hawatafanya shambulizi kwa wananchi ila wamegundua hata wananchi nao wanakula shaba na nyumba kuwa magofu.
Vipi kuhusu wayahudi? Au Wayahudi hawana haja ya kumpokea yesu wao wanaenda moja kwa moja peponi?inaumiza sana kwamba wamekufa bila kumpokea Yesu, wameenda motoni moja kwa moja.
Palestinian group Hamas said Tuesday that its fighters had killed an Israeli soldier and destroyed several armored vehicles in the Gaza Strip. “Our fighters engaged in clashes with Israeli forces northwest of Gaza City,” the group's armed wing, the Al-Qassam Brigades, said in a statement.Achana na vidagaa vilivyowateka wabongo wenzetu kwanza. Kuna hawa wakurungwa washatangulizwa mbele ya hakiView attachment 2798441
Ona ulivyo kilaza [emoji23][emoji23][emoji23] unaleta habari bila source.story za vijiweni. Anyway vipi umewasiliana na hao magaidi wawaache huru vijana wetu wa kiTanzania?Palestinian group Hamas said Tuesday that its fighters had killed an Israeli soldier and destroyed several armored vehicles in the Gaza Strip. “Our fighters engaged in clashes with Israeli forces northwest of Gaza City,” the group's armed wing, the Al-Qassam Brigades, said in a statement.
Mashoga utawajua tu kwa tabia za kucheka na kurusha vidole juu.Ona ulivyo kilaza [emoji23][emoji23][emoji23] unaleta habari bila source.story za vijiweni. Anyway vipi umewasiliana na hao magaidi wawaache huru vijana wetu wa kiTanzania?
Muuaji tu huyo Kikongwe....Mama Hillary Clinton nae anasisitiza muda huu hakuna mambo ya cease fire, hii imezoeleka kuwa zawadi kwa Hamas kujipanga upya, Kwa sasa walichokianzisha ni mpaka kimalizike.
View attachment 2798399
Kabisa mkuu, tatizo watu wanasahau kuwa huu mzozo haujaanza October 7 2023 tu kwa shambulio la Hamas kumbe ni mwendelezo tu wa mgogoro wenye miaka 75.Kuna watu hamjitambui aliyekwambia Hamas ndio Palestina nani? Kuna Palestinians zaidi ya Million 2 Gaza pekee bado westbank na Jordan a total of 3 million and counting. Humo Israel pekee kuna Palestinians 1.5 Million!! Kwahiyo hata Hamas ikiisha itazaliwa kundi jingine. So walichokianzisha hakimaliziki hadi wapate haki yao.
Kawaida ya mtu anayeishiwa hoja silaha yake ni matusi. HUNA HOJA BOSS. Washauri magaidi wa HAMAS wawaache huru vijana wetu wa kiTanzania.Mashoga utawajua tu kwa tabia za kucheka na kurusha vidole juu.
![]()
Hamas claims to kill Israeli soldier, destroy military vehicles in Gaza amid clashes
Palestinian group says its fighters engaged in clashes with Israeli forces northwest of Gaza City - Anadolu Ajansıwww.google.com
Tulia weweNishakusanya ushahidi ,ngoja nipate cha mchana nikulipue wewe kwa kuanzisha uzi utakao kufichua wewe Barbarian Maghayo mtoto.
Uzi wangu mods wamepita nao nyambafu zao ,ulikuwa unadhalilika wiki hii sijui nani aliuripoti wakati nilitumia mbinu ya kupelekea jukwaa la jokes na kuandika kimasihara ili usifutwe.Tulia wewe
Am back. Ila adriz Leo kwa mbali nimeanza kuwatetea wapalestina kwasababu nilibaguliwa supermarket. Nikajisikia vibaya.Uzi wangu mods wamepita nao nyambafu zao ,ulikuwa unadhalilika wiki hii sijui nani aliuripoti wakati nilitumia mbinu ya kupelekea jukwaa la jokes na kuandika kimasihara ili usifutwe.
😂🤣🤣🤣🙌😆☝️ usisahau kunitag.Am back. Ila adriz Leo kwa mbali nimeanza kuwatetea wapalestina kwasababu nilibaguliwa supermarket. Nikajisikia vibaya.
Nimerudi ghetto mchovu. Nalala kesho nikiamka nitaleta uzi.