Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Lissu kamatia hapo hapo.
Piga spana tu.
Mzee Meko huko alipo anaweweseka kwa hofu na mashaka.
 
Uzuri Lisu amejipambanua kama muongo na msaliti ndio maana hakuna mwenye time nae, juzi juzi alienda Kenya akadai korona inaua sana Tanzania leo chadema walivyomazumbukuku wala hawaoji kauli ile imeishia wapi
 
Huwezi kusikia mapambio tena ya Rais wa WANYONGE,labda aje na jipya,Rais wa wezi
 
Lissu akichukua nchi mtajuta. Huyu anatafuta upigaji akipata urais. Anasingizia wenzie bila ushahidi au vielelezo bayana. Hafai hata kwa mchuzi.
Mkuu acha ubishi magu amepora ardhi na ameanzisha lunch ambayo kwa sasa inalindwa na JWTZ
 
Siamini! Ndiye huyo tunayeambiwa ni Mcha Mungu?

Kuna ubaya gani yeye kuhodhi ekari hizo wakati waliomtangulia wana mahekari kibao kuliko hizo 25,000 ?

Cha muhimu TL angeongelea Katiba mpya ili kukata mzizi wa fitina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…