Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Ndio ilani ya Chadema hiyo? Duh.
Yajue haya:
1. Ilani huandikwa, lakini si yote huandikwa katika ilani.
2. Ilani si sera wala ahadi za maendeleo ya uchumi pekee. Ni pamoja na kukosoa yaliyopo na kukemea utawala mbaya.
3. Kampeni nzuri haiishii kwenye ilani. Kuna mengi kama mtandao wa mgombea, mikakati, uhamasishaji, kukubalika kwa mgombea, n.k.
**Kumbuka kuwa umuhimu ni kuwavuta wapiga kura!
 
chadema bana 😂 😂 😂 😂 😂 , sipati picha mbinguni watakavosumbua, kwann Mungu alianza kuumba ardhi, mwanga, maji badala ya matunda na bata., ukitaka waelewa hawa jamaa lazima uvute bangi kwanza
 
chadema bana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , sipati picha mbinguni watakavosumbua, kwann Mungu alianza kuumba ardhi, mwanga, maji badala ya matunda na bata., ukitaka waelewa hawa jamaa lazima uvute bangi kwanza
Na ukimaliza kuvuta bangi unashushia maji makubwa ya Kilimanjaro then unarudisha ardhi ya wanyonge uliyojinyakulia.
 
Siasa bhana, kwaiyo Sumaye alivyokua kiongozi wa Chadema hawakujua ameiba ardhi??
 
Rais mwizi
 
Basi Vibendera Mnaona Hoja na Kashinda tayari
hahahaa Kweli Tanzania Kuna Baadhi ya Vijana wapuuzi Kupindukia
huyo akipata 20% Mumpatie na Faru john Ashushie maaana utakuwa Ushindi kwake
Mzee jarubu kujibu hoja hizi ndio kampeni zenyewe acha kutukana kama mlevi.
 
Piga spana kamanda.

No wonder alikuwa ameziba watu midomo!
Kuna ranchi amejimilikisha hko kwao. Lisu seemed hilo.
Aje kusini AZUNGUMZIE KWA UNDANI LILE SAKATA LA KOROSHO.
AMALIZIE MKIRU. HUKU AENDE NA BWEGE WAZUNGUMZIE MAUAJI YA KIBITI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…