Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Ndio ilani ya Chadema hiyo? Duh.
Ndiyo!! Wizi wa namna yoyote ile ni marufuku,kwenye ilani ya chadema kuna kipengele kinachozungumzia haki,maadili,ulinzi wa raia na mali zao,ulinzi wa rasilimali nk, na kama unavyojua CCM ndiyo wezi namba moja wa mali za umma, viwanja vyote vya michezo vilivyojengwa na serikali ccm imevipora na kuvifanya mali yao,waondoke tu wakora hawa!!
 
Haya, umeridhika?
 
Mbona unaunga mkono wizi wa Magufuli? Mara tu Magufuli akiondoka madarakani utasikia mengi ya hovyo. Haijalishi rais ni CCM mwenzie. Kila kinacholipwa saivi wao tu na Doto James ambaye ni Mpwa wake ndiyo wenye kuidhinisha. Umejiuliza kwanini?

Magufuli anafanya mazuri kiasi ila ni jambazi mkubwa sana wa kalamu. Atakuja kukiona muda si muda. Yeye na watu wake wa karibu watajuta ni kwanini hata kawa Rais. Maisha yake ya kustaafu yatajawa na simanzi.

uzuri hawezi kumsimika Urais amtakaye kwa sababu hajui siasa na wana CCM wanamuwinda kuhakikisha nchi haiangukii mikononi mwa mteule wake.
Hizo ni propaganda ambazo hazina keep kichwa wala miguu.
Magufuli ndiyo Rais et aridhi ilikuwa ya Lunch halafu Rais Magufuli arudishe aridhi
Hahaha hahahah hii mbwa hii
 
Sawa! Jiandae ndugu yangu. Ukiwa Upinzani huku Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya muungano Tanzania huwezi kuteswa
Wewe jamaa nakumbuka umeweka ahadi Lissu asipokuwa Rais utakuwa tayari kufunuliwa marinda hazarani, naomba baada ya tarehe 28/10/2020 uwe tayari kutekeleza ahadi hiyo.

Tena mimi mwenyewe nitakufunua marinda.
 
Mungu atakujibu hapo October 28 Kwa iyo kebehi yako
Yes Mungu atanijibu kwa Magufuli kuendelea kuwa Rais wa JMT
IMG-20200923-WA0052.jpeg
 
Back
Top Bottom