Pre GE2025 Video: Makonda ataka mdahalo na Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kabla ya mdahalo hajajibu kuhusu shutuma yake ya kushiriki kutaka kumuua Lissu na pia hajajibu tuhuma za kuvamia kituo cha habari. Akiweza kujibu haya sawa. Wamarekani wamemtaja kwa tuhuma za kunyima uhuru wa kuishi ina maana alishiriki kuua watu.
 
kwani ww ndie lissu au?
 
Yeye mbowe kaitisha maandamano.
Wewe bashite itisha mdahalo kwani umezuiwa?
Elewa kurudishwa kwako ni njama mkakati baada ya maridhiano kukwamishwa na Samia na chama chake.
 
Sasa si mwambieni Mbowe na Lissu wenu wakubali huo mdahalo huo,ili mbivu na mbichi zijulikane?Makonda katoka hadharani kuwataka viongozi wote wa chadema wajikusanye na wawalete waandishi wa habari watakao wataka wao,yeye atakuwa peke yake ili Watanganyika tuujue ukweli, Chadema mnaanza drama,Wambieni viongozi wajitokeze mbele ya Makonda sio kuongelea chooni.Mwamba kaisha wapa nafasi ya kuwajibu maswali yenu na mkoshindwa kujitokeza,tuwaone humu mkifungua tired za kumuusu Makonda.
 
Wapenda Maendeleo wote furahieni kurejea kwa midahalo ya Wanasiasa ambayo kwa Muda mrefu CCM wamekuwa wakiwaogopa Chadema

Balile na Maena badala ya kuandika Vitabu Vya kuwananga Viongozi marehemu ni bora sasa mkatumia fursa Hii ya Makonda Kuendesha Midahalo Viongozi wakiwa HAI ili waweze kujitetea

Mlale Unono πŸ˜„
 
Tukianza ksenye jina lake atarusha ngumiii.....hasezi mdahalo na TL....labda aje Muse ya Meno....huyu mwepesiii Sanaa
 
CCM Kamwe Hawawezi Kukubali Hii Maana Ni Kaa La Moto Pia Endapo Mwongoza Mdahalo Akawa Dastan Tido Mhando Haa Akapiga Kwenye Mshono Ujue Serikali Za Mitaa Hawapati Kiongozi
 
Comred Paul Makonda tengeneza mtandao wa Fursa za Vijana kupata Ajira,Elimu bure kwenye vyuo vikuu na namna iliyo rahisi kwa Wafanyabiashara na wataalamu Nchini kupata mikopo kwa riba nafuu ili wafungue viwanda kwa kuwa by May 2024 tutakuwa na Umeme wa kutosha.
 
Chadema bhana πŸ˜‚ ccm wakitaka mdahalo nyie mnadai hamtaki mdahalo mana hawezi kujibu hoja zenu yn mtadhani tayari mlishawahi kufanya mdahalo nae
 
Chadema bhana πŸ˜‚ ccm wakitaka mdahalo nyie mnadai hamtaki mdahalo mana hawezi kujibu hoja zenu yn mtadhani tayari mlishawahi kufanya mdahalo nae
Hopless kama makonda hana hadhi ya kufanya mdahalo na mwamba mbowe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…