Pre GE2025 Video: Makonda ataka mdahalo na Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Thubutu, wewe unamuona Lissu wa maana sana kwa ile fokafoka yake ya kiuchungaji?

Yule anajuwa wajinga ndiyo waliwao, lakini hawezi kusimama kwenye mdahalo akajieleza bila kutukana, hata nyerere alishamtukana bungeni.
Mbweha mavi yako.
 
Attachments

  • Screenshot_20240115-023717~2.png
    30.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240115-023626~2.png
    47.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240115-024158~2.png
    23.6 KB · Views: 2
Hii nisawa Mandonga(Bashite) Vs Tyson Furry (Mh Lissu)Sikundi moja Tuu m Bashite tutaimba paramanda
 
Kwa chama chetu uwezo wa kufanya mdahalo na wapinzani uliishia kwa the late Benjamin Wiliam Mkapa, kwingine tuliambiwa kiongozi hapimwi na midahalo
 
Mariziano = Maridhiano. Huyu jamaa Kiswahili ni mtihani sana.

Awaeleze Watanzania aliyoyafanya na kuwafanyia miaka 5 ya JPM
 
Sioni mtu wa kuandamana,watanzania sio wajinga ambao wanaweza pelekwa na vibaraka wa wazungu ili kuvuruga amani na mstakabali wa taifa letu.Mwenyeki wangu makonda huhitaji kuwa na hofu juu ya hawa watu .
Maandamano sio vurugu.
Ni kupaza sauti.
Nadhani ata katiba yetu inaruhusu.
Binafsi naona tunahitaji mfumo wa uchaguzi usio chezeka kama wa Kenya.
 
Unagombea URAIS halafu wewe ndiye unateua atakayekutangaza. Na akiishakutangaza hata kama umeshindwa bado unakuwa RAIS na aliyekutangaza hashitakiwi. Ujinga wa karne huu.
 
Kwa chama chetu uwezo wa kufanya mdahalo na wapinzani uliishia kwa the late Benjamin Wiliam Mkapa, kwingine tuliambiwa kiongozi hapimwi na midahalo
Enzi za shujaa hakukuwa na nidahalo?
 
Ili Lissu ajue anaongea na mtu sahihi atataka ajue ni nani ni Bashite au Makonda, hapo huyu anayejiita Makonda atakasirika kwa kushindwa kutoa uhalali wa hilo jina.
 
Ili Lissu ajue anaongea na mtu sahihi atataka ajue ni nani ni Bashite au Makonda, hapo huyu anayejiita Makonda atakasirika kwa kushindwa kutoa uhalali wa hilo jina.
Alipàta alama zipi kidato cha nne?
 
Mdahalo.
Sidhani kama Mh. Makonda ni sahihi kukutana na cream ya CDM, naona siyo size yake, ana lots of discrepancies itakuwa aibu na siyo rahisi kutoa maelezo ya kuzi clear kwa umma zikaeleweka.
 
Mdahalo.
Sidhani kama Mh. Makonda ni sahihi kukutana na cream ya CDM, naona siyo size yake, ana lots of discrepancies itakuwa aibu na siyo rahisi kutoa maelezo ya kuzi clear kwa umma zikaeleweka.
Amewaita waende sasa
 
Kwanza angejibu hoja zote za Mbowe ndiyo aombe mdahalo .......!!
 
Wawaambie akina nani! Mimi siyo Chadema kama unavyotaka kulazimisha. Nimetoa mtazamo wangu tu kuhusu huyo Bashite wenu dhidi ya mtu kama Lissu, Mnyika, nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…