Pre GE2025 Video: Makonda ataka mdahalo na Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.

Credit : Swahili Times
Daaah... Huku ni kumdhalilisha Tundu Lissu. Yaani kweli akakae aongee na makonda?
 
Hahahaha....ila hii nchi full of dramas ...nabisha sana huyu Bashite dakika moja tuu kwenye mdahalo na Mh Lissu atakuwa ameshapigwa K.O
Hana uwezo wa kufanya mdaharo na mtu yoyote hapa Tanzania labda Chawa wa Mama akina Lucas mwashambwa . Huyo hata mimi haniwezi isije kuwa Lissu?

Chadema naona wanaenda naye vizuri, wameamua kumdharau na kumpuuzia. Kweli hana hadhi ya kujibiwa na watu wenye akili. Ye aendelee kulea toto la kupandikizwa tu.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.

Credit : Swahili Times
Ukitaka kufahamu kiongozi mpumbavu ni kusikiliza kauli zake.
Maridhiano hayakupeleka hitaji la maandamano bali Miswada mibovu ambayo thinktank ya nchi walijifungia kuiandaa kwa manufaa ya CCM.

Sisi wananchi tunataka kusikilizwa. yeye anendelee kutafuta kusikilizana na kina Lissu, sisi tuna hoja zetu ambazo akina Lissu na Mbowe wanajua ni zetu.
 
Sioni mtu wa kuandamana,watanzania sio wajinga ambao wanaweza pelekwa na vibaraka wa wazungu ili kuvuruga amani na mstakabali wa taifa letu.Mwenyeki wangu makonda huhitaji kuwa na hofu juu ya hawa watu .
Vidume watoto wa Hamas hapa duniani
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.

Credit : Swahili Times
Ccm imegeuka kituko cha dunia, kwamba mtu sahii wa kujibu hoja ngum ambazo wametoa chadema pitia mwenyekiti wao ni uyu Makonda hii chama imekufa kifo kibaya sana
 
Lisu aangalie huo mdahalo...sikuhiz wana deal sana na maiki,..nadhan mnakumbuka yaliyompata costatichi kule south Africa na huyu second aliekuw anatok sheli sheli alivyomalizwa pale tatu tatu..
 
Mbona kama unatokwa na povu? Huyo ni member mwenzako usimjengee chuki sababu anajua lugha zaidi ya moja.
Mwambie aache ushamba, lugha yetu ni adhwim hizi kasumba za kikoloni kwamba kwasababu muingereza alitutawala basi yeye ni bora zaidi na kwamba lugha yake ni bora zaidi na kujua ni kujua lugha zaidi ya moja kwa ufahari, yupo mmakonde anejua kireno, kizulu na kimatumbi humu
 
Sioni mtu wa kuandamana,watanzania sio wajinga ambao wanaweza pelekwa na vibaraka wa wazungu ili kuvuruga amani na mstakabali wa taifa letu.Mwenyeki wangu makonda huhitaji kuwa na hofu juu ya hawa watu .
Ticha ya primary ikiropoka uharo
 
Hahahaha....ila hii nchi full of dramas ...nabisha sana huyu Bashite dakika moja tuu kwenye mdahalo na Mh Lissu atakuwa ameshapigwa K.O
Siyo kwamba atachemka na kutokana na maswali na majibu ya Lissu anaweza kuita askali wakampumzishe lokapu Lissu? 😂.
 
Ccm imegeuka kituko cha dunia, kwamba mtu sahii wa kujibu hoja ngum ambazo wametoa chadema pitia mwenyekiti wao ni uyu Makonda hii chama imekufa kifo kibaya sana
Aliyetuletea huyu kiumbe kwenye nafasi muhimu kama hiyo ametukosea sana makada wakongwe
 
Back
Top Bottom