Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Sio kidole tu bali wameshachukua nyumba yao aliyotaka kuwatapeli kwa mgongo wa JPM na ni wazi bashite hana cha kuwafanya.

GSM ni vijana wa msoga hawakosi back up ya riz ambaye ni naibu waziri wa ardhi na makazi.
Msoga baby
 
Wee ni chawa wa GSM?
 
Ungejua nafasi aliyonayo bashite huko serikalini sasa hivi.........
Nimegundua wengi vingi hamjui, ndio maana nilisema kubenea anapoteza muda

Wadhifa gani? Acheni kumpa mtu sifa asizostahili. Nyie ndio mlisema atakuwa Waziri Mkuu Mara spika, mwisho wa siku akatwangwa chini kwenye kura za maoni Jimbo la Kigamboni.
 
Huyo alikua gamba mwenzio
Amehamia? Chadema hata ukivurunda unalindwa tu, walioiba bilioni 500 za Sabodo wapo, waliokopeshana gari kwa Hela za chama wapo, na hakuna hatua imechukuliwa
 
Kauli ya kinafiki ya rafiki anayejifanys mwana kumbe hater!

Huna hata huruma juu ya Makonda umeongea kinafiki. Hurumia wazazi wako na ndugu zako.

Unafiki unao wewe mpumbavu. Wewe ndio unajua emotions za mtu. Shetani mkubwa wewe. Usinizoe mjaa laana.
 
Unafahamu maana
Amehamia? Chadema hata ukivurunda unalindwa tu, walioiba bilioni 500 za Sabodo wapo, waliokopeshana gari kwa Hela za chama wapo, na hakuna hatua imechukuliwa

Unafahamu maana ya bilioni Mia tano?
 
Lakini maajabu tajiri wewe hujafa bado uko hai [emoji1]
 
Roma mkatoriki njooo...mpaka ule msambwanda. Uishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…