Gunst
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,995
- 5,664
Samahani bibi, hivi enzi zenu hii mipira ilikuwa imeshaingia au ulikuwa unatumia mifuko ya rambo?Ni Ghalib sio "Gharib" na sio Msomali huyo, kama hujui ni heri ukae kimya tu. Huyo ni Mmahara na Mdigo wa Tanga.
Wanadaiana waachwe wadaiane kwa raha zao.
Makonda inaonesha alitumiwa na GSM kama ile mipira, kazi yake imekwisha sasa hana faida tena atupwe tu.
Siku za mwizi 40, kama Ghalib nae kuna dhulma aliifanya basi malipo ni hapa hapa duniani.