Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Bado hujatoa suluhisho hapo
 
Kwa taarifa yako tu, wapo wafanyabiashara waliopasua zile mashine za kulipia kodi "EDF" siku JPM alipofariki na kufanya sherehe kwa kudai hawatalipa kodi tena sababu aliyekuwa anawasumbua kashaondoka.

Mfanyabiashara yeyote na kukwepa kodi ni mapacha sawa na bahari na samaki, ndiyomaana Wafanyabiashara wengi walikuwa wanamchukia sana JPM.
 
rushwa moja wanayopenda kuitumia wafanyabiashara wakubwa Tanzania ni kuwajengea ma property hawa ma rais na wakubwa wengine...... Wanajenga wanakupa umiliki.... JK kapewa sana ma apartment Mikocheni
Kikwete ile nyumba ya Msasani kajengewa na hao hao Home Shopping Centre ( GSM) !
 
mtanzania mweusi anapambana na Makonda dhidi ya tajiri Msomali Gharib....

Huyu Gharib na GSM sidhani kama wana nguvu yeyote ya kumnyoshea kidole Makonda
Kwani kuna ubaya gani mtu mwenye rangi yoyote ile kudai haki yake?
 
Sio kidole tu bali wameshachukua nyumba yao aliyotaka kuwatapeli kwa mgongo wa JPM na ni wazi bashite hana cha kuwafanya.

GSM ni vijana wa msoga hawakosi back up ya riz ambaye ni naibu waziri wa ardhi na makazi.
Huyo huyo aliyekashifiwa na Makonda kuwa ni muuza madawa!!!!!
 
Umesahahu madai ya Sabaya kuwa aliyoyafanya alikuwa anatumwa na Jiwe?
 
kama hiyo nyumba alijengewa jiwe, wenye haki na hiyo nyumba ni familia ya jiwe na si vinginevyo...........au nasema uongo.
Kama kuna nyumba imejengwa mwenye nyumba ni mwenye hati ya kiwanja!! Kama Makonda anayo hati ya kiwanja nyumba ilipojengwa basi GSM walie tu!
 
Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.

Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.
Akili za kuokoteza kisa Makonda hawara yako
 
GSM ndo KIKWE..... NDO HELA ZA SHOPPING CENTER ZILIPOFICHWA NDO HAO WALIO IUA KARIAKOO KWA KUONDOKA NA MITAJI YA WAFANYA BIASHARA NDO WAKWEPA KODI WAKUBWA
Kawafunge basi
 
Mbona kuna Watumishi wengi tu wa Umma wanamiliki Mali ambazo haziendani na vipato vyao!? Au wwe Tanzania umekuja juzi!? Hii point yako futa kabisa,labda uje na hoja nyingine!!
Two wrongs don't make one right!! Tuna deal na Makonda.

Mbona Magufuli aliwafuta kazi watu wa vyeti feki akamuacha Makonda aka BASHITE
 
Hovyooo toka kwa hovyoooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…