Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Watu gani hao ambao walikuwa wa karibu na Rais aliye madarakani walishindwa kutajirika hasa hasa kwa nchi zetu hizi za ki-Afrika?Watu wengi wa karibu na mwendazake walitajirika kupitia jina lake