Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
makonda aonyeshe transaction aliyoifanya kununua nyumba. akachukue hata bank statement tu ya pesa walizolipana au kama walilipana cash aseme na alete mashahidi kama wapo. ukweli unaweza kuwa aliwapora, hakuwahi kutoa pesa yeyote, na hao jamaa wanachotakiwa kufanya ni kusema ukweli kwamba alitupora na tulisaini kwa kulazimishwa kwasababu hajawahi kutupatia hata pesa. wachukue mali yao mapema na serikali iwasaidie. bashite anatakiwa kubaki bila hata nguo ya ndani. waliumiza sana mioyo ya watu, wanatakiwa kuvuna walichopanda.