Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

makonda aonyeshe transaction aliyoifanya kununua nyumba. akachukue hata bank statement tu ya pesa walizolipana au kama walilipana cash aseme na alete mashahidi kama wapo. ukweli unaweza kuwa aliwapora, hakuwahi kutoa pesa yeyote, na hao jamaa wanachotakiwa kufanya ni kusema ukweli kwamba alitupora na tulisaini kwa kulazimishwa kwasababu hajawahi kutupatia hata pesa. wachukue mali yao mapema na serikali iwasaidie. bashite anatakiwa kubaki bila hata nguo ya ndani. waliumiza sana mioyo ya watu, wanatakiwa kuvuna walichopanda.
 
Watu huwa wanajidanganya tu ! Duniani hakuna raha inayonunuliwa kwa gharama kubwa !! Raha ya dunia ni kupata peace of mind !! Na hiyo peace of mind huwa hainunuliwi kwa bei yeyote !! Maneno yangu haya wenye utajiri wao wanajua kuwa nasema kweli !! Ila wale ambao hawajawahi kupata utajiri hawataamini maneno yangu haya !!
Nakubaliana na wewe asilimia 100
 
Wakati Makonda na Sabaya wanadidimia Tazama Mbowe anavyoinuliwa siku hadi siku.
Huku kwa mabeberu, habari inayotembea ni kuwa Mbowe kaishinda serikali kwenye kesi ya kubumbwa(souped up charges)......
 
Zile daladala zake naona hazipo barabarani siku hizi
 
Ile ford ranger alimdhulumu tajiri mwarabu wa kampuni ya NAS baada ya kumsingizia madawa ya kulevya. Ili achomoke kwenye kesi akamdhulumu ford ranger.
 
Hao GSM nao wana record mbovu tu, hapo naona tapeli nae katapeliwa.

Kila nikisoma ule uzi wao ulioko huku JF naona hao jamaa nao wanatakiwa kuchunguzwa na vyombo vya dola, ni wahalifu wanaolindwa na urafiki kati yao na walioshika hatamu.

GSM na Makonda wote marafiki wa Ikulu, shikeni majembe yenu mkalime tu.
GSM wachunguzwe kwenye iwapo wameshiriki kwenye mtandao wa ukwepaji kodi
 
Wewe ni mpenda dhuruma na damu za watu ndio maana unawashangaa wachangiaji.
Msiwe wa kwanza kuwatupia wenzenu mawe mkijifanya watakatifu ilihali mmefunikwa na pazia lisiloweza kunyanyuka bila upepo au mpaka atokee mtu kufunua tuwaone.
 
B.itch pops up in defence of every Arab Muslim fuc.k who gets embroiled in some major scandal, and bitch claims to know all their family history including their dog's.

Wewe ni kijakazi tu wa hao Wamanga. Unwapikia biriani, na wamekutomba ili na wewe uzae mbegu ya kiarabu. Ndiyo hao tunawaona wamejazana Kariakoo.
Faiza Udini unamsumbua sana. Same as Ritz as well as Mzee Mohamed. Hawa watu wakati wa Mwendazake walipotea kabisa jukwaani. Tangu Maza ameingia wame rudi kwa kasi mpya na nguvu mpya.
 
Msiwe wa kwanza kuwatupia wenzenu mawe mkijifanya watakatifu ilihali mmefunikwa na pazia lisiloweza kunyanyuka bila upepo au mpaka atokee mtu kufunua tuwaone.
Bashite ananuka sema tu analindwa na ccm
 
Bashite ananuka sema tu analindwa na ccm
Ni unafiki tu mnaoendeleza, huyo bashite umemfaham toka lini?, vile mmejificha kwa mgongo wa all things fake tu hapa jf.

Ila mngekuwa ni real as paskali nk, tungewachana live na kuwavua nguo muonekane dhambi zenu.
 
Makonda kwa mshahara gani wa serikali wa milioni 4 ajenge ghorofa ya Bilioni 2? Yeye aendelee na kesi zake mahakamani aachane na mali za watu
 
We phi.mbi kweli, ulitaka waseme ili watupwe kama Moses Lijenje?
Wwe Gimbi kweli huna ulijuwalo kuhusu Wafanyabiashara Wanyonyaji wanao shirikiana na baadhi ya Viongozi walioko madarakani kupiga ma deal machafu!! Hili la Makonda na GSM ni aina flani ya Karma! Muda utatuambia ukweli wote!!
 
Mwache yamkute ya kumkuta alitutambia kuwa yeye ndiye anayeponda raha kuliko watu wooote duniani
Kwa hiyo na wwe ukaamini na ukamkasirikia tu kwa hiyo kauli yake!? Kakutisha na wwe ukatishika!!? Hahahaha Wabongo nyie mnavisa!!
 
Back
Top Bottom