Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,109
Mwananchi wa Tanzania ni jipu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mtu ni division ZERO hakika hawezi kuficha ZERO yake maishani. Makonda amekuwa mfanyakazi wa Serikali kwa miaka 2014-2020, ni kwa mshahara gani anaweza kumiliki nyumba ya Tsh 2.0 Billion?Huyu mpuuzi anatakiwa afungwe alikuwa mla rushwa sn
Tena bora angefungwa mapema akiwa bado kijana ili awahi kumaliza kifungo chakeKama mtu ni division ZERO hakika hawezi kuficha ZERO yake maishani. Makonda amekuwa mfanyakazi wa Serikali kwa miaka 2014-2020, ni kwa mshahara gani anaweza kumiliki nyumba ya Tsh 2.0 Billion?
Angekuwa ana akili hata ya Div IV, ingebidi akae mbali na utajiri huu na azoee maisha ya kawaida.
Hata kama Rais SSH anamlinda kama inavyodaiwa na baadhi ya watu, ajue tu iko siku Samia atatoka madarakani na ATADHALILISHWA tu. Mali ya DHULUMA na damu za watu wasio na hatia alizomwaga bado zinamtafuta
Makonda ni hirizi ya taifaHakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Kama Makonda alifikia kutumia jina la JPM kujimilikisha visivyo halali na kudhulumu vya wengine hatakiwi kuonewa huruma. Na hii inachafua uongozi uliopita. Kumbe watu walikuwa wanajiamulia.! Maadamu vyombo vya usalama vipo basi ukweli utajulikana. Kweli tutasikia na kuona mengi
Kwa hiyo mwizi ni halali kuibiwa.?GSM ni wachafu,wabaya.......kwahiyo hawana haki ya kudai mali zao ?.Ebu pelekeni ujinga huyu Makonda hafai kuishi uraiani anatakiwa kupelekwa China haraka sana.
Kwa hiyo mwizi ni halali kuibiwa.?
Kadri anavyotumia ukaribu wake na Samia ndiyo kadri anavyoahirisha maumivu ya jela/ kifungo. Ile kweli ni ZEEO BrainTena bora angefungwa mapema akiwa bado kijana ili awahi kumaliza kifungo chake
Hatari snKadri anavyotumia ukaribu wake na Samia ndiyo kadri anavyoahirisha maumivu ya jela/ kifungo. Ile kweli ni ZEEO Brain
Vyombo vipi hivyo vya usalama unazungumzia?! Kama ni hivi vilivyoshikiliwa akili na ccm basi sahau kuhusu hiloHakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Kama Makonda alifikia kutumia jina la JPM kujimilikisha visivyo halali na kudhulumu vya wengine hatakiwi kuonewa huruma. Na hii inachafua uongozi uliopita. Kumbe watu walikuwa wanajiamulia.! Maadamu vyombo vya usalama vipo basi ukweli utajulikana. Kweli tutasikia na kuona mengi
Ukienda TAKUKURU Upanga kuna watanzania wenye asili ya India kama watano walileta malalamiko pamoja na kadi za gari... Kuna mmoja alichukuliwa new model v8 ya mwaka 2016 na bei yake mpaka leo ipo juu sana hiyo gari..dah huruma imeniingia juu ya makonda. Watu wameanza kumgeuka mmoja mmoja, ipo siku hata wale wenye magari yao watamdai.
Hajauliza kazi yako bali kasema fanyeni kazi acheni umbea kwahiyo fanya kazi yako hiyohiyo ya lindo bila kupumzika uingeze kipati zaidi au uolewe nayo ni kazi siyo umbea,kazi ziko nyinymgi!!Unadhan wote tunafanya Kaz zinazofana mkuu. Mm natoka lindo mda huu nimekesha usiku kucha
Halafu acha kukalili wengine mda huu ndio saa moja usiku baadh ya nchi japo mm nipo hapahapa kwa nyerere
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app