Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Ni unafiki tu mnaoendeleza, huyo bashite umemfaham toka lini?, vile mmejificha kwa mgongo wa all things fake tu hapa jf.

Ila mngekuwa ni real as paskali nk, tungewachana live na kuwavua nguo muonekane dhambi zenu.
Usilazimishe avune mahindi hali alipanda miba
 
Guys mark hii makonda atainuka tena na sijui wataficha wapi sura zao naona ya magu kwa manji
 
Anayenyooshewa kidole siyo mtu mweusi Bali jiziii...

anayenyoosha kidole kwa jizi naye ni jizi tena zaidi ya huyo Makonda kwa vile tu hayuko kwenye mazingira ya watu kujua hilo... huyo naye niwakushughulikiwa na mamlaka kwa michezo yake... Manji awamu ya nne n huko nyuma alifanya ujinga mwingi sana na wote tulipiga kelele, alivyoshughulikiwa kwa ujinga wake baadala yake tukaanza kumtetea...
 
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Kama Makonda alifikia kutumia jina la JPM kujimilikisha visivyo halali na kudhulumu vya wengine hatakiwi kuonewa huruma.

Na hii inachafua uongozi uliopita. Kumbe watu walikuwa wanajiamulia.! Maadamu vyombo vya usalama vipo basi ukweli utajulikana.

Kweli tutasikia na kuona mengi
Yaleyale ya yule ex-DC sasa yako ex-RC. JE ma ex-Waziri na Makatibu wakuu ama ambao walikuwemo awamu ile wakoje???
Kutibu hivi vidonda viongozi na maafisa wa umma wachunguzwe upatikanaji mali zao na tume huru.
 
Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.

Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.
Siasa za nchi hii!! Jambazi anapewa nafasi ili awashughulikie wasiopendwa na anasifiwa kwa kutolewa mifano!!!
 
Ukiona hivyo Basi walikuwa na vitu vya ovyo nyuma yao au walikuwa wanafanya ya ovyo. Huwezi kukubali kirahisi kufanya jambo kama Unajua huna cha kuficha.
Hukuwahi kufuatwa na kuambiwa usipotoa fwedha tutakubandika kesi ya uhujumu na utakatishaji familia wakusahau!! Kisha tukaona kama ungetoa au usingetoa... Rejea kesi ya Ole saambaya!!
 
Yaleyale ya yule ex-DC sasa yako ex-RC. JE ma ex-Waziri na Makatibu wakuu ama ambao walikuwemo awamu ile wakoje???
Kutibu hivi vidonda viongozi na maafisa wa umma wachunguzwe upatikanaji mali zao na tume huru.
Dotto James
 
Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.

Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.
Na wasukuma wanaweza sana utawala wa visasi na hii inamuharibia hadi jiwe kwa vijana aliowaamini na kuwapa madaraka jinsi walivyotumia madaraka yao kunyanyasa wengine
 
Ghalib ni mdigo mwenzio bibi Faiza, endelea kujidanganya kama wale waarabu wanavyowadanganya Watanzania huku wana uraia wa Oman, kutwa kucha kutorosha hela na huku mnawaona wadigo wenzenu...

Shida yangu iko kwenye Unafiki wa hawa watu pale wanapojifanya wema kwenye hadhara ya watu na kuuvaa utanzania na sisi kuwaona Watanzania wenzetu na kuwapa access za bure kwenye miundombinu yetu kama wazawa na matokeo wanatutafuna kila kukicha..

Huyo Mzungu uliyemtaja sio topic hapa japo yeye sio mnafiki, anapanda ndege anakuja hapa kama Mzungu na dili mezani anatuzidi maarifa anatupiga... hawa wengine ni wanafiki tu
Kwa mzungu hiyo ni sawa kwa sababu ni wenzetu ! Ila kwa mmanga hapana maana si mwenzetu !! Hizo ni chuki kwa wale ambao sio wa upande wetu !! Huo ni ubaguzi usiotakiwa hapa duniani !!
Elewe msingi wangu, kujiita mdigo hata mtu anaweza kutoka USA leo akajiita yeye Mzaramo kwa kujifurahisha tu...

Sijakataa yeye kuwa mdigo, shida yangu iko kwenye unafiki wao kwa maana ya kutumia hizo asili mchana kupata upenyo na favor kama wazawa lakini usiku sio wadigo wala watanzania.. wanarudi kwenye asili za mababu na kupanga mikakati mizuri ya kutuhujumu mchana na kuhamisha hela na makazi kwenye asili zao za mababu na huko wanabaki na uraia wa siri....hiyo mipango kwa taarifa yako hata hizo serikali za huko kwenye asili zao wanajua...
Hakuna kitu kama hicho !! Tembea duniani uone watu wanavyoishi !! Utajifunza mengi
Ndege mjanja
Hunasa kwenye tundu bovu ??!! Au ?!
 
Back
Top Bottom