Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Ubaguzi wako nao hao mnaowatetea na kujiona watanzania wenzenu huku gizani wakiukana Utanzania na kuwafanya watanzania Wapagazi wao huku wakipambana kuwablack mail kwenye njia zote za uchumi....nyie mkibaki na vita zenu za CCM na CDM, SIMBA VS YANGA huku wao wakimwaga hela muendelee kulala usingizi..
Nafuu tuwatetee hao unaowaona waarabu kuliko mtanzania mwenzetu aliyempiga Jaji Joseph Warioba, alimuua Ben Saanane na kumwagia risasi 16 Tundu Lissu
 
Mungu amsaidie asiwe na akili ya kushikiwa na Vasco Dagama; ama sivyo anaweza kujikuta mahala Kikwete alipoifikisha ccm ambapo wavaa nguo za kijani wakipigwa mawe mitaani!!
The inflation is now skyrocketing in the economy and the RECESSION is not very far behind if strategic interventions are not urgently implemented!
Duh! !!
 
Haya yote yanatokea sababu Tiss ilishindwa kufanya kazi yake ipasavyo huko nyuma, na isitoshe Makonda alikuwa analindwa na Walinzi kutoka Tiss, walishindwaje kudili na hayo matukio kabla hayajafika mbali?
Wanasemaga Jinai huwa haifi !!
 
Faiza Udini unamsumbua sana. Same as Ritz as well as Mzee Mohamed. Hawa watu wakati wa Mwendazake walipotea kabisa jukwaani. Tangu Maza ameingia wame rudi kwa kasi mpya na nguvu mpya.
Siyo kweli FaizaFoxy alikuwapo sana tu jf wakati wa Magufuli
 
Ni unafiki tu mnaoendeleza, huyo bashite umemfaham toka lini?, vile mmejificha kwa mgongo wa all things fake tu hapa jf.

Ila mngekuwa ni real as paskali nk, tungewachana live na kuwavua nguo muonekane dhambi zenu.
Pumbavu kabisa TODAYS , wewe mwenyewe unatumia FAKE ID kujenga hoja, still unaponda wanao ibua maovu ya Bashite kwa FAKE ID??

Ni mpumbavu tu anaweza kuponda power ya social media through anonymous characters
 
Makonda sio wa kulia liaa hivi aiseee... Daah maisha haya inabdi tuishi vizuri na watu leo bashite msaada wake labda Samia kama watu wanavyosema ila hawezi ongea hata na kiongozi wa ccm kwa ambao wana nguvu kwa sasa amsaidie yani anatia huruma sana dhuluma zinamrudia
 
Mbona wwe Makonda hajakusingizia kua unauuza madawa ya kulevya!? "If you don't know the rules don't play the game'!!! Hayo Maneno alikuwa anapenda sana Marehemu Dingi yangu kuniambia! nilipokua mdogo sikumuelewa,hadi nilipokua Mkubwa na kuanza ku play the game ndiyo nikaanza kumuelewa! Na masikini wakati naanza kuelewa Maneno ya Dingi na yeye ndiyo Umauti ukamnyemelea na kumchukuwa!!
Kwa hiyo hapo ndiyo uwezo wa marehemu dingi wako wa kufikiri. Ndiyo maana alizaa mtoto POYOYO anayemtetea BASHITE muuaji na mdhulumu mali za watu.
 
Makonda sio wa kulia liaa hivi aiseee... Daah maisha haya inabdi tuishi vizuri na watu leo bashite msaada wake labda Samia kama watu wanavyosema ila hawezi ongea hata na kiongozi wa ccm kwa ambao wana nguvu kwa sasa amsaidie yani anatia huruma sana dhuluma zinamrudia

Kwani samia atadumu milele
 
Mungu amsaidie asiwe na akili ya kushikiwa na Vasco Dagama; ama sivyo anaweza kujikuta mahala Kikwete alipoifikisha ccm ambapo wavaa nguo za kijani wakipigwa mawe mitaani!!
The inflation is now skyrocketing in the economy and the RECESSION is not very far behind if strategic interventions are not urgently implemented!
Ambao si ma Vasco mazao waliyotuletea ndio yanaitwa Makonda na Sabaya. Huyaoni?
 
Dhulma ni dhulma tuu haina cha u Afrika wala uhindi, lazima ikemewe ili nyie vijana msiopenda kazi mkafanye kazi za jasho lenu..
thinkstupid.png
 
Pumbavu kabisa TODAYS , wewe mwenyewe unatumia FAKE ID kujenga hoja, still unaponda wanao ibua maovu ya Bashite kwa FAKE ID??

Ni mpumbavu tu anaweza kuponda power ya social media through anonymous characters
But reality still in real.
Tungewavua nguo kwa maovu yenu mna bahati.

Although msimpige mwenzenu mawe huku dhambi zenu zipo pembeni zikiwasubiri mmalize kurusha mawe.
 
Dhulma ni dhulma tuu haina cha u Afrika wala uhindi, lazima ikemewe ili nyie vijana msiopenda kazi mkafanye kazi za jasho lenu..
Nakuona unatamani sana hata akifa muda huu siyo kwa povu hilo.

Bado nasimamia, hata wewe umefanya/unafanya mengi mabaya nani anakufahamu ili kukuanika?

Stand in your time uje uhesabiwe, asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe huyo.

Acha unafiki.
 
Na huyo GSM umesha jiiuliza kwa nini wampe Mkuu wa Mkoa wa DSM zawadi yenye thamani kubwa Kama hiyo!? What do they wanted in return kutoka kwa Mkuu,ambacho hawajakipata au hajakitimiza na wakaamuwa wamdai Mali yao waliompaa!?
Makonda hakuwa anapewa zawadi. Alikuwa anachukua kibabe. Laasivyo unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi. Hakuna cha zawadi hapo
 
Back
Top Bottom