duu ndio misemo gani hiyo?Hatuwezi kuukalia kimya UFEDHULI wa Makonda eti kwa sababu na sisi tuna dhambi zetu. Dunia haiendi hivyo, huyu Bashite na Sabaya walikuwa wanamtumikia DIKTETA Magufuli wakidhani hawezi kutoka madarakani au kufa. Walikuwa sawa na Bob Astles na Maliyamungu chini ya Iddi Amini.
"Mkundu ukifa mavi hutawanyika",