Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majority kuwa weusi haimaanishi minority hawana haki sawa ...Nchi ni ya raia wote pasipo kubagua rangi ya ngozi
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Mkuu wewe humjui vizuri Faiza. Mwanzoni, Yes ..... Kwa vile anajidai ni mwana CCM damu.Siyo kweli FaizaFoxy alikuwapo sana tu jf wakati wa Magufuli
Majority kuwa weusi haimaanishi minority hawana haki sawa ...Nchi ni ya raia wote pasipo kubagua rangi ya ngozi
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Mwenzetu unaishi kwenye zama gani? Maza mwenyewe siyo mweusi na ndiye kashikilia nchi.Nani kakudanganya, Tanzania ni ya weusi WaAfrica kama ambavyo UK ni ya Wazungu weupe na weusi kule walienda kama watumwa tu..
Wajameni sasa angefanyaje??? Madaraka yalimfuata yenyewe !! mpaka akiingia chooni!! ....yanamsubiria mlangoni akitoka tu !! yana mdandia mabegani sasa afanyeje?? mfanyeni mtakavyo mfanya lkn na yeye alifanya alivo ona ni sahihi!!Makonda leo nae analalamika??? Kweli Dunia duara.
Makonda amekwisha huyo, yale mamlaka ya kidkteta hatayapata tena, upepo umebadilika, yule kichaa ameshazikwa mwaka Jana mwezi kama huuSiasa za kiafrika is unpredictable kwaiyo kaa kwa kutulia usiongozwe na hisia
Makonda ni takatakaWajameni sasa angefanyaje??? Madaraka yalimfuata yenyewe !! mpaka akiingia chooni!! ....yanamsubiria mlangoni akitoka tu !! yana mdandia mabegani sasa afanyeje?? mfanyeni mtakavyo mfanya lkn na yeye alifanya alivo ona ni sahihi!!
Kma mnamuua sawa tu!! lkn yeye Makonda hanywi sumu wala nini!!!... akitaka kwenda kujibu chochote ataenda lkn siyo kwa lazima hivo...je akikataa mutamuuua??? kitu ambacho amewaruhusu mkifanye km mkitaka!! yeye alikuwa mtumishi tu!!
lkn ikatokea baadhi ya majinga kumchukia!! hayo sasa ni yenu!! muuueni yaishe mbwa nyieeee!! msitishetishe watu hapa!! kufa ni kufa tu. ..alikufa Samwel Doe akiwa Madarakani tena vibaya!! na alikataa kuondoka Liberia!!
pamoja na USA kumletea Dege la kijeshi limtoroshee Marekani lkn dogo alikataa!! katakata let me die here!! na aliye muua...leo hii habari yake ni ombaomba tu mshenzi mitaani!! nilisikia aliwahi kutubu!!
huyo ni ivo sembuse Makonda?? kamkuu ka mkoa?? tena mkimuita mahakamani haendi!!...mkimkamata hatoki!...fanyeni mnavyo taka paka nyie kushadadia tu umbeya! yeye alikuwa ni kiongozi sasa mlitaka awalambe mavi??? ...
Kikwete kawabeba weee!! msivo bebeka mna mnamnanga mpaka leo! mnamuita majina mara vasco dagama!! mara anasafiri kwa kodi zenu!!! vikodi gani vile vya madafu havina thamani?? sasa
huyu Makonda kapiga kazi mnaleta za kuleta nyamabf zenu mnataka nini sasa??? mtaanza nyie kufa mmoja baada ya mwingine including mleta mada.... make hamsikii!! umbea tyuuuuu! hata mama pia mtaleta majungu tu!!
sijui mkoje??? ndo maaana mliuzwa! nasema mlistahili kuuzwa wote mapaka leo mko ivo!....na msidhani watu km nyie mtajichanganya na Mzungu atawaita nyani tu mpaka Mungu aingilie kati.... bila ivo wote nyie ni wagonjwa wa akili! hamstahili kuishi!
mpigeni risasi basi mfurahi yaishe!!! ...Kama Gadaffi alivouawa!..mfurahi paka-shume nyie!!!!.....na nyie mtakufa bila hata ukuu wa nyumba zenu!! aliyo yafanya ni alifanya mambo kwa mujibu wa sheria za nchi yake!......huyo ni jemedari safi sana!!
yaani ombeni sana paka nyie mie smaki nisiwe Rais wa nchi tu!!! mbona dogo bashite atapeta upyaaaa? Mama samia usiwaruhusu haya majibwa yatammaliza kijana huyo! mlinde vizuri kama huwezi mlete huku ale bata!
Mtu wa ajabu sana Makonda. Arudishe mali za watuMwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.
Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika kwa vile Jiwe hakumtuma Bashite.
View attachment 2145146
View attachment 2145147
Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.
Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika kwa vile Jiwe hakumtuma Bashite.
View attachment 2145146
View attachment 2145147
Watoto wa mjini ndio hawa walimpiga Mbowe ndani miezi 8 kisha wakamuita ikulu kumshukukuru rais?Mataga pori sio rahisi waruhusiwe kushika tena usukani na watoto wa mjini, wamejifunza.
Mwenzetu unaishi kwenye zama gani? Maza mwenyewe siyo mweusi na ndiye kashikilia nchi.
Yaani kwa akili yako Mtanzania aliyeoa au kuolewa na Mzungu watoto wake hawawezi kuwa Watanzania .....!!?
Wewe mwenyewe huwezi kutupa guarantee kama 5 gereration kabla yako waliishi Tanzania. Inawezekana ukipimwa Mitochondria DNA yako ikawa na damu ya Uarabu au Uzungu.
Lkn si ALIKUONGOZA??? Mkuu wako wa Mkoa??? tena ukampigia na makofi akipita na vogue lake jeusi!! sasa nani takataka zaidi?? basi kumbuka na wewe ni takataka kwa sababu uliongozwa na taka taka!...kwa nini hukumpinga wkt huo??...Makonda ni takataka
Watoto wa mjini ndio hawa walimpiga Mbowe ndani miezi 8 kisha wakamuita ikulu kumshukukuru rais?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ndiyo ukalale upate nguvu za usiku huko lindo sio kufika lindoni unaanza kusinzia utaibiwa haa haa haa [emoji23][emoji23][emoji23]Unadhan wote tunafanya Kaz zinazofana mkuu. Mm natoka lindo mda huu nimekesha usiku kucha
Halafu acha kukalili wengine mda huu ndio saa moja usiku baadh ya nchi japo mm nipo hapahapa kwa nyerere
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ila hizo Mali mbona tokea 2013??Yaani moto uliokuwa wanapelekewa wamiliki wa malori ulikuwa sio wa kitoto..
Wafanyabiashara wengi hasa wa juu cha moto walikipata..
Hili la GSM haliwekwi wazi.. Lakini inaonyesha alichezea kitisho na kuambiwa ni maagizo kutoka juu.. Jenga nyumba fullstop
Hivi ilikuwa ni msiba au maonesho ya nyumba? Yaani watanzania! Ulitaka kamera zianze kuonyesha nyumba badala ya matukio ya msibani. Nyumba uwa haijifichi kama unataka nyumba waulize walioudhuria msibani. Au funga safari uende ukaangalie hiyo nyumba unayotaka kuiona.Jiulize ni kwanini nyumba ya Chato haikuonyeshwa wakati wa msiba.
Ukiingizwa chaka na mshamba bila shaka wewe ndio zuzuWatoto wa mjini waliingizwa chaka na mataga pori. Wamejifunza.
Huyo mumeo ni takatakaLkn si ALIKUONGOZA??? Mkuu wako wa Mkoa??? tena ukampigia na makofi akipita na vogue lake jeusi!! sasa nani takataka zaidi?? basi kumbuka na wewe ni takataka kwa sababu uliongozwa na taka taka!...kwa nini hukumpinga wkt huo??.....