Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Je unaijua kazi ya mkewe?

Je una uhakika kama hana biashara nyingine ya kumuingizia kipato?

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.

Mwenye madai halali ya kudhulumiwa asibaki mtandaoni tu bali aende TAKUKURU.

Hizo mali zake pia zimeorodheshwa kwenye daftari la mali za viongozi.
Hivi unajua Mali za makonda zile Lexus ukijumlisha tu zinafika billion hapo hujaongelea nyumba kwa biashara ipi ambayo anafanya either yeye au mke wake mwenye macho haambiwi tazama
 
Akihojiwa kwenye kipindi cha Clouds 360 CAG mstaafu Uttoh alisema siyo kwamba awamu ya 5 hapakuwa na rushwa ilikuwepo ila kikundi cha watu wachache ndio kilijineemesha kwa dili kubwa kubwa tu " the higher the risk....
Amini Taasisi siyo upumbavu wenu wa kuamini mtu,chama,kabila au elimu ya mtu.
 
Akihojiwa kwenye kipindi cha Clouds 360 CAG mstaafu Uttoh alisema siyo kwamba awamu ya 5 hapakuwa na rushwa ilikuwepo ila kikundi cha watu wachache ndio kilijineemesha kwa dili kubwa kubwa tu " the higher the risk....."

Kiukweli nchi hii Usimwamini yoyote hata Tundu Lisu au Bagonza wewe mwamini Mungu wa mbinguni only.

Maendeleo hayana vyama!
Yani maelezo yoote na kuzunguka kote kwenye uzi wako ulikuwa unamlenga tu Antiphas the @$$ kicker
 
Unatamani hata muda huu afe siyo kwa povu hilo.

Bado nasimamia, hata wewe umefanya/unafanya mengi mabaya nani anakufahamu ili kukuanika?

Stand in your time uje uhesabiwe, asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe huyo.

Acha unafiki.
Usipoteze muda kujua dhambi zangu, Mungu wangu atahangaika na mimi. Ufedhuli wa Makonda na Sabaya siyo wa kufumbiwa macho eti kwa kuwa na sisi tuna dhambi zetu
 
IMG-20220311-WA0197.jpg
 
Usipoteze muda kujua dhambi zangu, Mungu wangu atahangaika na mimi. Ufedhuli wa Makonda na Sabaya siyo wa kufumbiwa macho eti kwa kuwa na sisi tuna dhambi zetu
Real sihitaji wala usiniambie uhalifu wako ila, nasema ila "asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpiga mawe huyo"
 
Akihojiwa kwenye kipindi cha Clouds 360 CAG mstaafu Uttoh alisema siyo kwamba awamu ya 5 hapakuwa na rushwa ilikuwepo ila kikundi cha watu wachache ndio kilijineemesha kwa dili kubwa kubwa tu " the higher the risk....."

Kiukweli nchi hii Usimwamini yoyote hata Tundu Lisu au Bagonza wewe mwamini Mungu wa mbinguni only.

Maendeleo hayana vyama!
Mzilankende Ulimwamini Wewe
 
Kwa hiyo tuwaamini Samia na majaliwa?
 
kweli kuna baadhi ya watanzania ni wajinga sana ila hawa ni zaidi, yaani mtu nakufata kwa kauli tu kuwa mheshimiwa flani anataka nyumba na wewe jinsi ulivyo kiazi pro max unajenga kabisa ukiamini ni kweli?? hivi ni nani aliyeturoga??, halafu unakuja kumlaumu mtu wakati ni upuuzi wako mwenyewe, mtu ni kiongozi wa nchi kweli atakuwa na shida ya kibanda kimoja wakati ana mabangaloo ya kumtosha yeye na vitukuu vyake vilivyopo na vitakavyokuja
 
Hapo ni vita Kati ya shabiki nguli wa yanga na shabiki nguli wa simba kazi inogile
 
Hivi unajua Mali za makonda zile Lexus ukijumlisha tu zinafika billion hapo hujaongelea nyumba kwa biashara ipi ambayo anafanya either yeye au mke wake mwenye macho haambiwi tazama
Yoote sawa....lakini TAKUKURU wameomba mwenye ushahidi wa haya mambo aupeleke kwao.
Mnasubiri nini kupeleka huko?

Humu kijiweni kwenu sio TAKUKURU...

Humu ni kijiwe majungu tu.
 
Mengi yatafunguka, bado matajiri wengi aliowadhulumu wanamvutia pumzi tu.

Sidhani kama kuna cha kumlinda safari hii. Unafikiri, walivyodhalilishwa matajiri na wanasiasa na huyo jamaa watamsamehe? Kwanza wanahakikisha anakauka kifedha kidogo kidogo na anapoteza mali zake kidogo kidogo. Sasa hivi ni kama manyunyu tu, ngoja masika ichanganye, tutamhurumia.

Tukisikia nyumba alizojenga Mwanza na kwengineko zinanunuliwa au zinapigwa mnada muda si mrefu sana kuanzia sasa tusishangae.
Wewe kigagula na mfia dini Hujui ya kwamba GSM muisalamu mwenzako alikuwa na hadi sasa ni muuzaji wa dawa za kulevya pia ni mkwepaji wa ushuru bandari kwa mgongo wa vasco da gama mstaafu..

Hujui amehonga nyumba ngapi kwa vasco da gama, hapa lazma damu imwagike nyumba hairudishwi naona GSM akipotelea kusikojulikana hata kama Ankoli akiingilia kati Bi mkubwa ndio final say.
 
Kwani samia atadumu milele

Si peleka ushahidi kitengo cha madawa ya kulevya? Unangoja nini?

Mfupa ulimshinda fisi, utauweza wewe?
 
Back
Top Bottom