chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mwaka huu mtanyookaAlaah!! Kumbe unaumia sababu tu alikukataa?? sasa nani anapenda uchafu?..... heee!....Njoo wewe uone navo faidi km unanionea wivu!!......na bado mtalia sana tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu mtanyookaAlaah!! Kumbe unaumia sababu tu alikukataa?? sasa nani anapenda uchafu?..... heee!....Njoo wewe uone navo faidi km unanionea wivu!!......na bado mtalia sana tu!
Hii habari ina Ukweli ?
Na alikua mtoto wa baba, lakini baba akafa! Hata mama hataishi milele! Kwa hiyo naye alitakiwa aishi kwa kufuata misingi ya maadili, sheria na katiba. Hakuna kuwatisha GSM wala nini, wacha bashite avune!Mkuu wanasiasa si watu wa kuweka nao bifu hasa unapokuwa mfanya biashara. Kama GSM wana mtu wa PR wataliona hili nalosema. Hivi nani alijua Makala atakuja kuwa mkuu wa mkoa wa Dar???? Ninachomaanisha hapa ni kuwa wanasiasa wana mitaji mikubwa ya network, mtu anaweza kuwa idle kwa muda ila siku mtu wake akimkumbuka basi anaweza kulipiza kisasi. Msipe kichwa GSM. Na kumbukeni Makonda na Mama ni kitu kimoja.
Na siku moja apigwe viboko hadharani kwa kutumia madaraka vibayaWatu wamejanjaruka, kila alichonyang,anya Makonda kwa watu kitarudi labda tutashindwa kumrudisha Ben Saanane.
Ila tutambana japo atuonyeshe walipomzika au walipomtupia baharini
Kwa hiyo tuwaamini Samia na majaliwa?
Huijui hii nchi, Kalaghabao.kweli kuna baadhi ya watanzania ni wajinga sana ila hawa ni zaidi, yaani mtu nakufata kwa kauli tu kuwa mheshimiwa flani anataka nyumba na wewe jinsi ulivyo kiazi pro max unajenga kabisa ukiamini ni kweli?? hivi ni nani aliyeturoga??, halafu unakuja kumlaumu mtu wakati ni upuuzi wako mwenyewe, mtu ni kiongozi wa nchi kweli atakuwa na shida ya kibanda kimoja wakati ana mabangaloo ya kumtosha yeye na vitukuu vyake vilivyopo na vitakavyokuja
TAKUKURU wanalipwa kutafuta ushahidi sio kusubiri kupelekewa ofisini.Yoote sawa....lakini TAKUKURU wameomba mwenye ushahidi wa haya mambo aupeleke kwao.
Mnasubiri nini kupeleka huko?
Humu kijiweni kwenu sio TAKUKURU...
Humu ni kijiwe majungu tu.
Haijatoka, subiri. Utajua hujui.Kwamba GSM ni kampuni ya ujenzi ama? Walijenga kwa minajili ipi? Kama walitoa rushwa basi ndio imetoka
Umenena vyema. Karibu sana FaizaFoxy.Ni Ghalib sio "Gharib" na sio Msomali huyo, kama hujui ni heri ukae kimya tu. Huyo ni Mmahara na Mdigo wa Tanga.
Wanadaiana waachwe wadaiane kwa raha zao.
Makonda inaonesha alitumiwa na GSM kama ile mipira, kazi yake imekwisha sasa hana faida tena atupwe tu.
Siku za mwizi 40, kama Ghalib nae kuna dhulma aliifanya basi malipo ni hapa hapa duniani.
Asante Sana kwa taarifa hii, naomba Mimi Mwanajeiefu mwenzenu, niwe mtu wa kwanza kuwajulisha kuwa hii vita ya kutaka kumdhalilisha mpakwa mafuta wa Beans, Paul Makonda, sasa ndio mwanzo WA mwisho wa hasidi huyu!. Karma ndio itamaliza kila kitu. Simaanishi Makonda ni malaika, bali, ni binaadamu kama binadamu wengine, hakuna mkamilifu, hivyo na yeye kuna makosa ametenda na tayari karma imeisha mshughulikia, hivyo kwa maonevu anayotendewa na hasidi huyu, ni Mungu, Baba ndiye atamlipia.Wakuu ebu tujadili kidogo
Vurugu Kubwa zimezuka Siku ya jumatano ya tarehe 09 March 2022, Kufuatia Ugomvi wa Kugombania nyumba ya ghorofa mbili ambayo Kila mmoja, Paul Makonda na Gharib Mohammed Bilal anadai ni mali yake
Ugomvi huo Umezuka mpaka kufikia hatua ya Paul Makonda kurushiwa risasi zaidi ya 8, baada ya Gharib Mohammed Bilal Kuondoa walinzi na mafundi wa Paul Makonda kisha Kuweka Walinzi wake na Kumzuia Paul Makonda Kufika katika Kiwanja namba 60 Kilichopo mtaa wa Regent Estate Eneo la Mikocheni.
Gazeti na MwanaHabari Lili fanikiwa kuwahoji baadhi ya Watu walioshuhudia tukio hilo la kushangaza, ambao waliokwepo eneo la tukio akiwemo mwenyekiti wa mtaa ambaye alisogea mahala hapo mara baada ya Kusikia milio ya risasi kwa muda mrefu.
Baada ya mwandishi wetu Kufanya Uchunguzi wa Kina Juu ya Paul Makonda ambaye aliwahi Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Gazeti letu limebaini kuwa Kiwanja hicho ni Mali yake halali ambayo ameuziwa na Gharib Bilal terehe 18 november mwaka 2013 kwa Hati za mauziano wakati Makonda hajawa hata Kiongozi wa Serikali Bado, Wakati huo mkewe ndiye aliyekuwa anafanya Kazi Katika shirika lisilo la kiserikali la IFAKARA HEALTH INSTITUTE
Gazeti la MwanaHabari limefanikiwa Kuona nyaraka hizo mbalimbali , ambapo Gharib Mohammed Bilal alisaini Mkataba wa mauziano na Paul Makonda chini ya Kamishina Wa Kiapo Wakili Ibrahim Shinen
(pichani ni Mkataba wa Mauziano ya Kiwanja na Picha za Garib Bilal na Paul Makonda, ukiithibitishwa na Kamishina wa viapo wakili Ibrahim Mashinen)
Uchunguzi wa Gazeti la MwanaHabari umebaini kuwa Paul Makonda na Gharib Mohammed Bilal Wanafahamiana kwa Muda mrefu sana kabla hajawa Kiongozi wa Serikali, Wakati wa awamu ya Nne ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete
pia Gazeti la MwanaHabari limeona nyaraka nyingine ambazo zimesainiwa na Mke wa Gharib Bilal ambaye ni Bi Salha Islam Sahaag ikimruhusu na Kutoa idhini kwa Paul Makonda Kubadili hati ya Umiliki ambayo pia Gharib Bilal alimkabidhi Makonda kama Sehemu ya mauziano yao mbele ya Kamishina Wa viapo wakili Ibrahim Shinen Mwaka huo huo 2013
(Pichani ni Nyaraka ya Kuridhia Kubadili Hati Iliyo ikiwa na Picha ya Mke wa Gharib Mohammed Bilal)
Katika hali ya Kushangaza Gharib Mohammed Bilal ameibuka ghafla wakati huu na Kudai Kiwanja ambacho alimuuzia Paul Makonda ambaye tayari ameshajenga Jengo la Ghorofa mbili za makazi zaidi ya familia moja katika Kiwanja hicho kuwa bado ni Mali yake.
Kitu ambacho kimezua Maswali Kwanini sasa.? na Muhusika alikuwa wapi wakati Kiwanja hicho kimeanza Ujenzi zaidi ya miaka 6 nyuma mwaka mmoja baada ya mauziano mpaka Leo Jengo linakaribia Kuisha.
Uchunguzi wa Gazeti umebaini Kuna Wanasiasa walionyuma ya mpango huu wa kumdhoofisha na Kuhakikisha Paul Makonda
Baadhi ya watu Walio karibu Gharib Mohammed Bilal kwa muda mrefu wa Wameshangazwa na uhasama huo, kwa sababu wanawahamu familia ya Gharib Mohammed Bilal na Paul Makonda ni Familia rafiki kwa muda Mrefu ambazo zimekuwa zikisaidiana kwa raha na matatizo
Watu hao wanasema kuwa Naibu Waziri mmoja wa awamu ya sita kwa Jina la Ridhiwani Kikwete ndiye anaye mchochea mfanyabiashara huyo Kupora nyumba ya Paul Makonda na Kisha kutaka kumilikishwa yeye
Aidha Gharib Bilal anatajwa pia katika Kile Kinachodaiwa mkakati wa Kumdhalilisha Paul Makonda kwa Kufadhili Kesi dhidi ya Pual Makonda ambayo imefunguliwa na mwanasiasa mmoja wa Upinzani ambaye amekuwa kwenye Vita na Paul Makonda yeye na magazeti yake kwa ufadhili wa pesa za Gharib Mohammed Bilal kama Sehemu ya Kumkomoa na Kumdhalilisha Paul Makonda
Baada ya kuona Kesi ile haina tija na haija fanikiwa anachokitaka cha Kumdhalilisha na kumdhoofisha Paul Makonda
Sasa Gharib Mohammed Bilal ameingia Ulingoni yeye mwenyewe mchana kweupe kwa Kutaka kupora mali za Paul Makonda ikiwemo Jengo la ghorofa mbili la Kiwanja namba 60 Mtaa wa Regent Estate, Mikocheni kisha Kumpatia Naibu Waziri wa Ardhi Ridhiwani Kikwete mali hiyo.
Mkakati huo Ulinaswa Kufuatia Kikao cha January 15 2022, Siku saba baada ya Ridhiwani Kikwete Kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Gharib Bilal alimuita mwanasiasa huyo Katika moja ya Majengo yake (Appartment) anazomiliki Masaki kwa ubia wa Kampuni ya GSM na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ambapo mtoto wa Rais Mstaafu Miraji Kikwete anaishi katika jengo hilo
Kikao Kilikuwa ni Kuhusu Kupora jengo la Paul Makonda Mikocheni kisha Kumkabidhi Ridhiwani Kikwete kama atafanikisha Mpango huo ambapo Gharib Bilal amenukuliwa akisema "Kuliko yule Mbwa akae pale Kwemye Kiwanja nilichomuuizia, Bora Uchukue wewe, Kama akitaka pesa yake ya Kiwanja nitamrudishia"
Kazi ambayo Ridhiwani Kikwete alienda Kufanya na Kutoa hati nyingine kwa Jina la Gharib Mohammed Bilal mbali na Kuwa hati ya mwanzo Gharib Bilal alimkabidhi Paul Makonda na anajua ipo wapi ila walitengezea nyingine kwa kisingizio cha ya Kwanza imepotea .
Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete kupitia Wizara ya Ardhi alitoa hati nyingine kwa Jina la Gharib Bilal tarehe 31 January 2022, siku 22 baada ya Kuapishwa Kushika nyadhifa hiyo Wakati Waziri Wa Ardhi Angelina Mabula akiwa mgonjwa Kitandani na bado ajaapishwa kuanza kazi Rasmi.
Baada Ya Paul Makonda kutaarifiwa Mchezo huo na Wasamaria Wema katika Wizara ya Ardhi, alikwenda Wizara ya Ardhi na Kuonyesha Nyaraka za Mauziano na Makabidhiano Wizara ya Ardhi, kiasi Kupelekea maafisa wa Ardhi Kujiridhisha na Kuweka zuio la hati Mpya iliyotoka kutotambulika Kisheria (Caveat)
Watu Walio Karibu na Naibu Waziri huyo wa Ardhi wanasema, Mwanasiasa huyo aliapa Kusaidia mkakati wa Kumdhoofisha na Kumdhalilisha Makonda kama Sehemu ya Kulipa Kisasi kwa Mwanasiasa huyo Kufuatia Kutajwa kwake katika kashfa ya Kujihusisha na madawa ya Kulevya wakati Ule Paul Makonda akiendesha operesheni maalum ya Kuwataja hadharani watu wote wanaojihusha na usafirishwaji na uuzaji wa madawa ya Kulevya
Mwenyekiti Wa mtaa wa Regent Estate,Mikocheni amekiri katika Kikao Kilicho fanyika katika Jengo hilo mara baada ya vurugu na Kurushiana risasi Kilicho fanyika Chini ya Kamanda wa Polisi Wa Wilaya ya Kipolisi ya Oysterbay aliyetambulika kwa Jina moja la Wendo, Kuwa wao manamtambua Paul Makonda kuwa Mmiliki wa Jengo hilo kwa sababu Wamekuwa wa Kumuona Mtaani hapo anajenga na Kuleta Vifaa Vya Ujenzi kwa zaidi ya miaka 5 iliyopita
Alisema "Makonda ameshiriki Katika Kukarabati hata hizi barabara za mtaa huu, Katika Kuleta vifusi na hii lami Unayo iona hapa ilikupata urahisi wa Kufika katika Jengo hili"
Gazeti limewahoji pia baadhi ya Viongozi wa Serikali ambao hawakutaka Kutajwa kwa sasa, wametoa Ufafanuzi kuwa Serikali Inafahamu mikakati yote michafu dhidi ya Paul Makonda ni Visasi na udhalilishaji kwa sababu wao kama Serikali Walitoa wito wenye Ushahidi Kamili wa Kuporwa mali Kwenda Takukuru Kufungua malalamiko lakini Hakuna hata mmoja aliye fanya hivyo.
Badala yake Watu wamekuwa Wanatumia mitandao ya Kijamii na njia nyinginezo, Wakati Swala la Ujenzi Wa Nyumba ya Makonda Serikali Inafahamu kupitia Fomu za Umiliki wa Mali kwa Viongozi wa Umma na mara Kadhaa Vyombo Vya Dola Vimefika eneo la Ujenzi kama Sehemu ya Utejelezaji majukumu Yake asingeweza Kujenga pale alafu Serikali isijue, Kwa sasa Makonda anakaa katika nyumba za Kupanga za Serikali (TBA) pale Oysterbay
Wadau wengine wamekerwa na Madai ya Garib Mohammed Bilal kumuhusisha moja kwa moja Paul Makonda na Hayati Rais John Pombe Magufuli kama Sehemu ya kulipiza Kisasi kwa Serikali Ya awamu ya TANO Kupitia Makonda ambaye aliwahi Kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam.
Wengi Wana amini Serikali ya awamu ya tano ya hayati John Pombe Magufuli imemsaidia sana Garib Mohammed Bilal hasa katika Ugomvi wake wa familia baada ya Kushutumiwa Kumwaga tindikali na Kaka yake Said Mohamed Saad ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Home shopping Center kisha kuhamisha Umiliki wa mali za Kaka yake akiwa Kwenye Matibabu huko Nchini Dubai mpaka kufikia Ndugu hao Kutaka kuuana
Serikali ya awamu ya tano imepata lawama nyingi sana Juu ya kumkingia kifua Gharib Mohammed Bilal katika Maswala ya Ukwepaji Kodi, Utoroshaji wa makontena bandarini na tabia ya Kubadili Majina ya Kampuni kila kukicha wengi Wanahisi Serikali ilimbeba sana, hastahili Kuonyesha Chuki kama anayo onyesha Sasa.
Bashite wakati anatembelea ma Lexus ya hao jamaa na kuweka namba za serikali alikuwa anajua ni mali zake binafsi? Avune alichopanda maana alionea watu sana
Mfano mzuri wamuulize Manji wakati wa baba Riz halafu yalomfika wakati wa Jiwe.Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.
Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.
Enzi zile ukikutwa unakunywa tubia twako tuwili tutatu kwa siku, utakuta umewekewa barua mezani kwako ili ujieleze kuhusu ulicho nacho. Hiyo ni pamoja na mshahara wako kwa mwezi, mali unazomiliki n.k. Hawakuomba ushahidi toka kwa raia, bali wao wenyewe walifanya uchunguzi. Leo hii ukijifanya unayajua usiyopaswa kuyajua utapotezwa na usionekane tena katika sura ya dunia.Yoote sawa....lakini TAKUKURU wameomba mwenye ushahidi wa haya mambo aupeleke kwao.
Mnasubiri nini kupeleka huko?
Humu kijiweni kwenu sio TAKUKURU...
Humu ni kijiwe majungu tu.
Kama huyo anaesikika akihemka kwa jazba hapo ndie Gharib, basi sina mashaka kuwa ni muhuni mwenye akili za kitoto. Bilionea mkubwa unatishia mtu ambae hajabeba silaha kwa kupiga risasi?
Jamaa atarijua riJiji ra Darisarama!Sio kidole tu bali wameshachukua nyumba yao aliyotaka kuwatapeli kwa mgongo wa JPM na ni wazi bashite hana cha kuwafanya.
GSM ni vijana wa msoga hawakosi back up ya riz ambaye ni naibu waziri wa ardhi na makazi.
EEh na mali ya zaidi ya billion 2 (kwa jumba moja tu) kwa muda mchache alioajiriwa ni akiba kutoka mshahara wake, au siyo?Makonda anahujumiwa sababu ya misimamo yake isiyoyumba hususan kupambana na wauza unga na mafisadi.
Naiona imetoka kwa Sabaya ipo kwa Makonda hivi sasa, au siyo?Tulia karma ifanye kazi
Tena pale shuleni Kolomije.😀😀 Bashitee kwisha habari yako, sasa ndiyo muda wa kurudi Misungwi ukavue samaki Jiji tuachie sisi