Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

EEh na mali ya zaidi ya billion 2 (kwa jumba moja tu) kwa muda mchache alioajiriwa ni akiba kutoka mshahara wake, au siyo?
Unajuaje labda ni kipato cha mkewe au urithi?... Pengine kabla ya kuingia kwenye uongozi huenda alikuwa na miradi yake.....
 
Makonda ataadhibiwa kwa sababu mwenye kisu ni mtesi wake, ila hawa GSM nao majizi tu, sema ni biashara ya mwenye kisu!
 
EEh na mali ya zaidi ya billion 2 (kwa jumba moja tu) kwa muda mchache alioajiriwa ni akiba kutoka mshahara wake, au siyo?
Watu wakiweka Mali za Ridhiwani si tutakimbiana hapa.
Si vyema kuchagua upande,wote hao hutumia nafasi za kupora
 
Alifoji angalia zile document minimeziona alifoji sio genuine
Kubali akili kubadilika kulingana na mazingira, hiko kiwanja bashite alinunua toka 2013 na wote karibu hao wanajua na sisi tunajua kutokana na ukaribu walio nao kipindi hiko.
Naa aliyemsaidia bashite kupata kiwanja kutoka kwa GSM ni huyohuyo dogo ambae sasa hivi hawaelewani kwa sababu zao za kimaslahi na kugeukana.
Hii kusema ni fake document achana nayo. Msiwe mnabisha hata kwa vitu ambavyo walio karibu huko wanajua

Ushauri tu, usijenge chuki
 
Kama huyo anaesikika akihemka kwa jazba hapo ndie Gharib, basi sina mashaka kuwa ni muhuni mwenye akili za kitoto. Bilionea mkubwa unatishia mtu ambae hajabeba silaha kwa kupiga risasi?

Simkubali makonda na kinachompata hivi sasa ni KARMA; wala asilalamike, asilie, ajikaze kiume na ajiandae kuuonja mkuki!

Hata ile kuisusia taifa Starz kisa ugomvi wa nembo yake na simba ilikua ni akili za utoto pia.
Wewe Albaab hujawahi kumiliki hata kabati la nguo, unamkosoa Ghalib njia aliyoitumia kudai mali yake?

Kama ametumia bastola vibaya, mchukue Makonda nendeni Polisi mkafungue jalada.

Mijitu kama Makonda haipaswi kuwa treated kiungwana. Hivi unakumbuka alivyompiga mtama Mzee Warioba pale U ubungo Plaza?
 
Kubali akili kubadilika kulingana na mazingira, hiko kiwanja bashite alinunua toka 2013 na wote karibu hao wanajua na sisi tunajua kutokana na ukaribu walio nao kipindi hiko.
Naa aliyemsaidia bashite kupata kiwanja kutoka kwa GSM ni huyohuyo dogo ambae sasa hivi hawaelewani kwa sababu zao za kimaslahi na kugeukana.
Hii kusema ni fake document achana nayo. Msiwe mnabisha hata kwa vitu ambavyo walio karibu huko wanajua

Ushauri tu, usijenge chuki
Jiulize kwanza kama Makonda mwaka 2013 alikuwa hata na nauli ya basi kwenda kugombea ukatibu mwenezi wa UVCCM? Nauli aliomba kwa Mkapa na anakiri mwenyewe.

Makonda ameanza kupata hela mwaka 2014 baada ya Samuel Sitta kumuingiza kwenye Bunge maalaum la Katiba. Yasemekana mzee Spika alikuwa anakula ule msambwanda wa Makonda
 
Naiona imetoka kwa Sabaya ipo kwa Makonda hivi sasa, au siyo?

Kesi ya Makonda na Kubenea vipi, iliisha?
Wewe hufuatiliagi mambo? Unasubiiri Mwarabu au Muislamu mwenye hadhi kubwa apate scandal ndiiyo uonyeshe interest.
 
Jiulize kwanza kama Makonda mwaka 2013 alikuwa hata na nauli ya basi kwenda kugombea ukatibu mwenezi wa UVCCM? Nauli aliomba kwa Mkapa na anakiri mwenyewe.

Makonda ameanza kupata hela mwaka 2014 baada ya Samuel Sitta kumuingiza kwenye Bunge maalaum la Katiba. Yasemekana mzee Spika alikuwa anakula ule msambwanda wa Makonda
Unajua suala serious likianza kujadiliwa kwa mhemko hupoteza hata maana yake.
 
Kubali akili kubadilika kulingana na mazingira, hiko kiwanja bashite alinunua toka 2013 na wote karibu hao wanajua na sisi tunajua kutokana na ukaribu walio nao kipindi hiko.
Naa aliyemsaidia bashite kupata kiwanja kutoka kwa GSM ni huyohuyo dogo ambae sasa hivi hawaelewani kwa sababu zao za kimaslahi na kugeukana.
Hii kusema ni fake document achana nayo. Msiwe mnabisha hata kwa vitu ambavyo walio karibu huko wanajua

Ushauri tu, usijenge chuki
HiZo document nimeshaziona zinasambaa mtandaoni zimefojiwa mbona unalazamisha mambo ni fake
 
Kubali akili kubadilika kulingana na mazingira, hiko kiwanja bashite alinunua toka 2013 na wote karibu hao wanajua na sisi tunajua kutokana na ukaribu walio nao kipindi hiko.
Naa aliyemsaidia bashite kupata kiwanja kutoka kwa GSM ni huyohuyo dogo ambae sasa hivi hawaelewani kwa sababu zao za kimaslahi na kugeukana.
Hii kusema ni fake document achana nayo. Msiwe mnabisha hata kwa vitu ambavyo walio karibu huko wanajua

Ushauri tu, usijenge chuki
Angalia hiyo document ya makonda ya 2013 muhuru umepigwa chini ya picha umeshaona wapi legal document muhuru unapigwa ndo inawekwa picha acha ushabiki, ndo GSM wameenda kuchukua Chao wanauhalika makonda Hana evidence

Screenshot_20220311-174428_1.jpg
 
Wewe Albaab hujawahi kumiliki hata kabati la nguo, unamkosoa Ghalib njia aliyoitumia kudai mali yake?

Kama ametumia bastola vibaya, mchukue Makonda nendeni Polisi mkafungue jalada.

Mijitu kama Makonda haipaswi kuwa treated kiungwana. Hivi unakumbuka alivyompiga mtama Mzee Warioba pale U ubungo Plaza?
Sijali dhoruba atakayoipata Makonda, soma vizuri bandiko langu "ni zamu yake kuhenya"

Lakini Gharib sio wa kufanya tukio la namna hio, tumempa dhamana kubwa sana (Dar es Salaam Young Africans). Ni aibu kwa heshima aliyonayo na utajiri anaodhaniwa kuwa nao kufanya huo utoto!

Huihui2 Mimi sio tajiri kama Gharib lakini naweza kukulisha wewe na familia yako!
 
Kaz imeanza Sasa

Hayo ni machache tu kati ya mengi yaliyojificha

Bado naibu waziri wa ardhi na yeye kufungua kesi ya kusingiziwa anauza sembe kali
Duh, naona wanataka sasa kumharakishia safari ya kumfuata Mwendazake
 
Back
Top Bottom