FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Matusi ni jadi yenu, nafahamu hayo ndio mnayofundishwa kwenu, hakuna siri.Wewe hufuatiliagi mambo? Unasubiiri Mwarabu au Muislamu mwenye hadhi kubwa apate scandal ndiiyo uonyeshe interest.
Sasa hapa "scandal" la nani? Naona kwako Makonda ni "Mwarabu au Mwislamu".
Au hujamsikia analalamika kama mtoto aliyenyimwa ice cream aliponyang'anywa nyumba na kurudi kwa wenyewe? Ukiangalia huoni basi hata kusikia husikii?
Tunafahamu mashabiki wa "sukuma gang" mmeumia sana, lakini ndio muipokee tu ingawa inawauma.