kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Tuambie wewe ni nani alimuua ben ? Tupe ushahidi.Kwa hiyo wewe hukuwa Tanzania? Hujui aliyemuuwa Ben Saanane? Azory Gwanda? Hujui nani alikuwa kinara wa kundi la WASIOJULIKANA? Waliommiminia risasi Tundu Lissu?