The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Huyu jamaa, hakuanza kukwapua kipindi cha mwendazake, alianza baada ya kukabidhiwa cheo na mzee wa msg, alianza mdogo mdogo sana kwenye maduka ya chini, TV's furnitures, n.k kuna list ya wanuafaika wake, wengi wasanii n.k fikiria anaweza kuzama dukani kwako akabeba tv zenye thamanui milioni 7 kila moja kwa idadi ya watu aliokuja nao anawaambia wamfuate ofisini, ukifika huko ni kibano, huyu ndie mwalimu wa yule jambazi wa arusha aliyepigwa miaka 30