Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,555
- 2,216
Dah ni kweli mkuu, kiongozi ndo tegemeo letu alafu anakuwa mtu Kama sabaya!Nafuu enzi hizo ambazo mtu binafsi anakuuliza "je unajuwa mimi ni nani?" Kuliko kipindi cha Magufuli amnapo DC au RC anatembea na AK-47 kunyang'anya fedha kwa wananchi ambao anapaswa kuwaongoza.
Sasa tufanyaje ili tufike mahali hakuna mtu anamtishia maisha raia mwenzake? sio kiongozi sio mtu binafsi