Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Hivi unajua Mali za makonda zile Lexus ukijumlisha tu zinafika billion hapo hujaongelea nyumba kwa biashara ipi ambayo anafanya either yeye au mke wake mwenye macho haambiwi tazamaJe unaijua kazi ya mkewe?
Je una uhakika kama hana biashara nyingine ya kumuingizia kipato?
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Mwenye madai halali ya kudhulumiwa asibaki mtandaoni tu bali aende TAKUKURU.
Hizo mali zake pia zimeorodheshwa kwenye daftari la mali za viongozi.