Alitoa wapi 120M?? Alete chanzo chake cha mapato, else kesi zile zile za UTAKATISHAJI zimrudie! Anafanya biashara haramu!Document ya mwaka 2013 bado safiii, kuna watu wanajua kutunza...then picha ziko juu ya mihuri daaaah...halafu mihuri mipya kabsa km imepigwa leo vile,,, BTW 2013 Makonda alikua na uwezo wa kununua mali ya 120M?! Basi jamaa katoka mbali[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ambao si ma Vasco mazao waliyotuletea ndio yanaitwa Makonda na Sabaya. Huyaoni?
Huenda haikuwa kwa HIARI yake alishikiwa Bastola kichwani.Kama documents za mauziano ni hizi, then you don't need lens or binoculars to see kuwa ni forged documents. You can just see by naked eyes, they are not bonafide genuine, they are equal vichwa the forged documents!.
P
Daadeki!!! KARMA huwa inaleta utamu.Nani anabisha karma never misses the location??
Leo Bashite, anajitetea. Analialia???
Nje ya mada kidogo, eti huyu FaizaFoxy ni kweli ndo Mazaa?! Mi sitaki nibishane naye, kama ndiye!Umenena vyema. Karibu sana FaizaFoxy.
Duuh nimecheka balaa...bonge ya ushauri na sio aanze kutumikia kifungo 2030 kama anaemlinda ataonyesha nia 2025 na kushinda au aanze kifungo 2025Tena bora angefungwa mapema akiwa bado kijana ili awahi kumaliza kifungo chake
Kapuku Makonda alikuwa na urithi gani ?Unajuaje labda ni kipato cha mkewe au urithi?... Pengine kabla ya kuingia kwenye uongozi huenda alikuwa na miradi yake.....
Mwanasiasa ana mabangaloo kwa mtaji upi?kweli kuna baadhi ya watanzania ni wajinga sana ila hawa ni zaidi, yaani mtu nakufata kwa kauli tu kuwa mheshimiwa flani anataka nyumba na wewe jinsi ulivyo kiazi pro max unajenga kabisa ukiamini ni kweli?? hivi ni nani aliyeturoga??, halafu unakuja kumlaumu mtu wakati ni upuuzi wako mwenyewe, mtu ni kiongozi wa nchi kweli atakuwa na shida ya kibanda kimoja wakati ana mabangaloo ya kumtosha yeye na vitukuu vyake vilivyopo na vitakavyokuja
Lilikuwa linapenda kuabudiwa.
Teh teh teh 😂😂...mna maneno Sana nyie raia haaaa 😂Umasahau kuwa Makonda ni uzao wa Vasco Dagama? Jiwe ni baba wa kufikia tu!!
Duuh! inasikitishaKama documents za mauziano ni hizi, then you don't need lens or binoculars to see kuwa ni forged documents. You can just see by naked eyes, they are not bonafide genuine, they are equal vichwa the forged documents!.
P
Msamehee bure huyo, ulimbukeni wa silahaa unamsumbua, anaamini ukiwa na silahaa wwe ndiyo Mwamba! Hajui kua huyo Ghalib kwa kitendo hicho cha kumtishia Makonda na silahaa ni kosa kubwa sana, hiyo kisheria ni Kama Ghalib alikusudia kumuwa Makonda! Hii kesi muda wowote inaweza badilika ikawa Jinai kutoka kwenye madai!!Makonda anaweza kuwa pimbi ila wewe ndo pimbi zaidi yake! Ukoo wako wote mkijikiusanya mmufikii hata robo kimaisha!
Mzee Baba Jinai tayari isha simama hiyo, Mwanasheria wa Makonda apambane kuanzia police hadi kwa DPP!!Ni ujinga gani huo uliosababisha mpaka jamaa akapiga risasi, Mimi sikuwepo hebu tueleze ilivyokuwa mkuu!
Na wakati huo ndipo alipokuwa anafanya ujambazi wake wa kudhulumu watu?Umasahau kuwa Makonda ni uzao wa Vasco Dagama? Jiwe ni baba wa kufikia tu!!
Sikuelewi unaongea nini. Angenyang'anywa nyumba? Au unachosoma hukielewi, basi hata macho hayaoni? Masikio hayasikii?Tuliaminishwa kua Bwana PCM hagusiki hata na awamu hii. Lakini kwa kilichotokea kwenye sakata la hiyo nyumba linanipa mashaka na zile kauli za kua ana godfather wa ngazi ya juu sana na kwa hiyo anaendelea ku enjoy impunity
Hata mimi sijaelewa hii post yako unamaanisha nini. What I wanted to express is that; Makonda has inflicted so much pain kwa baadhi ya watu hasa kwenye business community. Rafiki yangu Mpakistani akiwa one of his victimsSikuelewi unaongea nini. Angenyang'anywa nyumba? Au unachosoma hukielewi, basi hata macho hayaoni? Masikio hayasikii?