Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Bashite kiazi sana .Sasa ni zamu ya bashite kuleta vielelezo vya malipo,manake mgongolwa anasema hata ujenzi wa gorofa hilo ulifanywa na gsm,na ameonyesha ishahidi. Bashite aliingizwa mjini, msukuma aliingizwa mjini na kijana wa kariakoo.
Kwa uongo huu warabu wameshakufyatua makalio tayari,wameuziana kiwanja 2013 wewe unakuja na habari za 2019,inzi weweMwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.
Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika kwa vile Jiwe hakumtuma Bashite.
View attachment 2145146
View attachment 2145147
Katika watu wenye biashara za ujanja ujanja basi ni huyu GSM na watu hii kampuni imemuweka Ghalib kama msimamizi tu lakini wenye hisa wamefichwa kwenye uvungu wa kitanda. Hii kampuni akiingia Rais asiyetaka mianya ya Rushwa basi GSM inaenda kutaifishwa iwe Mali ya umma maana biashara zote wanazofanya ni uwizi mtupu.
GSM ni muhuni sana alipoona swala la kiwanja walichouziana na Paul makonda tena mnamo mwaka 2013 makonda hajawa hata kiongozi wa serikalini, ametafuta wanasheria wenye njaa kuunda ushahidi wa michongo na kwa kuwa asilimia kubwa ya hii kampuni inakaliwa na former top government leaders kutoa amri wizara ya ardhi ifoji nyaraka ni kitu cha sekunde tu. Chuki ni mbaya Sana huyu makonda wanaomfanyia hizi hila ni wale waliosema ngoja afe tuone Nani atamtetea.
Uongozi wa Paul makonda ulikuwa ni wakiimra na kutojali misingi bora ya utumishi wa umma lakini Hili haliharalishi yeye kutokuwa na haki ya kumiliki ardhi hata kama ni Mali yake kihalali na kafata taratibu zote za kisheria za Hati miliki. Kuna watu wanafrahi kuona huyu dogo analialia bila msaada lakini tujue kuwa nani yupo salama Kati yetu kama mifumo kandamizi bado ipo kila kukicha? Jibu nikuwa hakuna aliye safe maana ipo siku yatakukuta halafu utakuja mbele ya midia unafuka makamasi unaomba tupaze sauti.
HITIMISHO. Kampuni ya GSM sio ya waarabu, niyaviongozi matapeli wala rushwa na wenye ubinafsi na tamaa ya mali huyu mwalabu ni kivuli tu mwili umejificha. Makonda ameporwa kwa Chuki zao binafsi kipindi cha uongozi wa mwendazake. View attachment 2147863View attachment 2147865
Picha inaonesha moja ya raha alizokua akipewa. Kubebwa kindakindaki.
Loh! Kwa hiyo kama mmiliki wa kiwanja ndo mwenye nyumba, jamaa hana chake. Nyumba na kiwanja vyote "manche ga nyancha".Walimtengeneza bila kujua [emoji1787][emoji1787] na hiyo tarehe wamebackdate itakua kwa makubaliano yao wenyewe sahizi hana chake itakua hiyo mihuri nae kaja kugundua jana sidhani kama bd ataendelea kudai[emoji16][emoji16][emoji16]
cc AdminJamani acheni kutukanana na Nyani Ngabu kwenye public. Nendeni inbox. Please Goldschmidt
Huo ndo mtego wenyewe. Ukifyatuka utakwenda na mtuMbona mikataba ni ya mwaka 2013 kabla hata Magu hajaingia madarakani na Bashite sio maarufu kabisaa
Dah,Tutamtetea?
View attachment 2147714
Hili kaburi mbona lashangaza akilini! Limekuwepo kabla hata halijachimbwa?Angalia wasifu wa Learned brother, Ameanza Kuwa Active Jan 1, 2020.
.
Swali la Kujiuliza ni Kwamba Kama amekuwa active kama wakili kuanzia Jan 2020, ilikuwaje akasaini Sell Agreement 2013.
.
Kuwa active maana yake amehuisha Seal Yake Kwa kulipa ada TLS, Mahakamani na ada zingine.
.
Je itakuwa Learned brother alisaini Mkataba akiwa ni Mtumishi wa Umma? View attachment 2147755View attachment 2147756
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mlisoma wote ushirikaBashite kiazi sana .
mtanzania mweusi anapambana na Makonda dhidi ya tajiri Msomali Gharib....
Huyu Gharib na GSM sidhani kama wana nguvu yeyote ya kumnyoshea kidole Makonda
Kwa uongo huu warabu wameshakufyatua makalio tayari,wameuziana kiwanja 2013 wewe unakuja na habari za 2019,inzi wewe
Wanachafua hali ya hewa.Ni kama ukosefu wa maadili.Badala ya kujikita katika mada wanaporomosha matusMa diaspora hao wanatukana kizungu!
Nadhani Bashite kaiba vingi zaidi ya hapoView attachment 2147922
cheguevara unatumia jina lenye utukufu halafu kichwani mwako ni tabular rasa
Ushamba ndo nini? Wewe makonda unamzidi kwa lipi? Exposure, kufahamika,maisha,familia bora,fedha anakuzidi halafu unamwita mshamba! Hakika wewe ni Mbwiga!View attachment 2147816
Ona hiyo ndio utajua mkuu wenu wa mkoa alichezewa shere bila kujua na ushamba wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]