cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
Mpeleke jera siunayo mamlaka na uwezo huo na ushahidi unaoHii takataka Makonda inapaswa kuwa jela na siyo uraiani!! Huyu ana kesi ya kujibu mauaji ya Ben Saanane na utekaji wa Roma Mkatoliki na wengine wengi.
Hio inaitwa weka ugoko niweke jiwe! Kipimo alihowapimia wenzake kati ya 2015 na 2020 naye anapimiwa kwacho. Atulie dawa iingieMakonda leo nae analalamika??? Kweli Dunia duara....
umecomment kisimbasimba!Hao GSM nao wana record mbovu tu, hapo naona tapeli nae katapeliwa.
Kila nikisoma ule uzi wao ulioko huku JF naona hao jamaa nao wanatakiwa kuchunguzwa na vyombo vya dola, ni wahalifu wanaolindwa na urafiki kati yao na walioshika hatamu.
GSM ndo KIKWE..... NDO HELA ZA SHOPPING CENTER ZILIPOFICHWA NDO HAO WALIO IUA KARIAKOO KWA KUONDOKA NA MITAJI YA WAFANYA BIASHARA NDO WAKWEPA KODI WAKUBWAHao GSM nao wana record mbovu tu, hapo naona tapeli nae katapeliwa.
Kila nikisoma ule uzi wao ulioko huku JF naona hao jamaa nao wanatakiwa kuchunguzwa na vyombo vya dola, ni wahalifu wanaolindwa na urafiki kati yao na walioshika hatamu.
Makonda alikuwa tapeli wa kiwango cha juu. Kule Mwanza alipora kiwanja Capripoint kutoka familia ya Chacha, mmiliki wa hospitali ya CF. Akawadanganya kuwa watalipwa, akaishia kujenga nyumba yake binafsi.
Si alifariki huyu dokta Chacha? Aisee Makonda basi atakuwa ana visasi kwa watu wengi sana na itamu hunt sanaMakonda alikuwa tapeli wa kiwango cha juu. Kule Mwanza alipora kiwanja Capripoint kutoka familia ya Chacha, mmiliki wa hospitali ya CF. Akawadanganya kuwa watalipwa, akaishia kujenga nyumba yake binafsi.
Raha zinaisha taratibu mkuuMakonda leo nae analalamika??? Kweli Dunia duara....
Ukienda TAKUKURU Upanga kuna watanzania wenye asili ya India kama watano walileta malalamiko pamoja na kadi za gari... Kuna mmoja alichukuliwa new model v8 ya mwaka 2016 na bei yake mpaka leo ipo juu sana hiyo gari..
Hawa walikuwa wanalindwa na mfumo ulivyokuwa wa nchi...
Kwani watu hawakusikia msemo huu ' KWENYE UONGOZI WANGU TAJIRI ANAFANYWA CHOCHOTE ' na watu wakapiga makofi..
Bora hawa wakina GSM wamesalimika na roho zao.... Matajiri wengi walifariki wa pressure kitokana na kuambiwa inahitajika hii.. Account yako inatakiwa ikatwe hela hii.....
Hujakaa sawa unafuatwa mheshimiwa amenituma kwako kuchukua hiki... Nk
Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.
Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.
Mkuu wanasiasa si watu wa kuweka nao bifu hasa unapokuwa mfanya biashara. Kama GSM wana mtu wa PR wataliona hili nalosema. Hivi nani alijua Makala atakuja kuwa mkuu wa mkoa wa Dar???? Ninachomaanisha hapa ni kuwa wanasiasa wana mitaji mikubwa ya network, mtu anaweza kuwa idle kwa muda ila siku mtu wake akimkumbuka basi anaweza kulipiza kisasi. Msipe kichwa GSM. Na kumbukeni Makonda na Mama ni kitu kimoja.Huyo huyo nape aliondolewa uwaziri kisa makonda. Mimi nassuport GSM wakadai nyumba yao maana kudai Mali yako hakuna uhusiano na kuwa uRais na uWaziri was mtu.
Kuwa mkweli tu huenda tungeweza kukuchangia uwe na janja badala ya kitochi.Simu yangu ina quality mbovu sauti. Ambaye amesikia kinachozungumzwa akitype
msomeni huyu mpuuzi hapa 🤣🤣🤣Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.
Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.