Kavirondo
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 751
- 1,605
Acha ubaguzi,hii nchi si ya watu wanaofanana na wewe tu..Idi Amin alifukuza Wahindi, alikuwa sahihi...kwasasa hatupaswi kuwafukuza bali wanapaswa kujua hatuwaamini kama watanzania kuanzia Wahindi, Waarabu, Wazungu, Wasomali ...Hizi jamii hupaswi kuziamini pale zinapojinasibu kuwa raia hasa huku Africa...
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app