VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

Yule mzee ukimsikiliza vizuri unaweza kuhoji imani yake kwa Mungu.

Kwa sababu typically watu wanaoamini Mungu wanamuachia Mungu suala la kifo, yeye alijiwekea sehemu kubwa sana ya kuweza ku control suala hilo.

Tatizo la kuangalia suala kama hili la mlinzi ni kwamba watu wengi wana hasira na serikali na wanatolea hasira zao kwenye issue kama hii bila ushahidi. Hence the unsupported claims of nepotism.

Sasa mtu anakimbilia kusema hii ni nepotism bila hata ushahidi, wakati hii inaweza kumtokea mtu yeyote, au hata kama kuna uzembe kwenye recruitment si lazima iwe nepotism.

Na unaweza kukuta huyo mlinzi ni victim wa kuwa overworked, na yeye anataka kufanya kazi kwa uzalendo mkubwa bila kukataa kuwa overworked. Unaona hata hapo anataka kuanguka wenzake wanataka kumchukua akae chini, hataki. Anaona kama kukubali kukaa ni ku fail kufanya kazi yake ya kumlinda rais, wakati inawezekana kukaa chini kukawa tofauti ya yeye kuishi na kufa. Unamlinda vipi rsis wakati hata wewe mwenyewe huwezi kusimama?

Ila, ukisoma kitabu cha mlinzi wa zamani wa Nyerere Peter D.M Bwimbo "Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere" ukaona wanavyofundishwa loyalty utaelewa kwa nini hakutaka kukaa.

Sasa wabongo wengi wanaweza kuja hapa kumshambulia victim bila kujua kiini.

Kwa kuichukia serikali tu.
 
Kupendeleana huko .kuna watu wako fit wananyimwa nafasi

Aliyempa hiyo nafasi na waliofanya vetting wawajibishwe
Hiyo ni hali inayoweza kutokea kwa yeyote. Yaweza kuwa uchovu au udhaifu wa muda tu wa mwili.
Kilichotakiwa ni kuona kama leo hajisikii vizuri apangwe mwingine.
Hata hivyo, habari za kazi zinazohusu wakubwa wa kisiasa zina changamoto zake, siyo rahisi kubadilisha ratiba muda mfupi, labda owe dharura kubwa kama hiyo ya kuonekana hadharani.
 
Dah. Kwanza Pe Yake. Narudi pole sana. Kwanza ni muungwana akionekana kuongea hii inamaanisha wenzake walitakiwa kuchukua nafasi hapo kuna uzembe wa PSU leader hadi mwambata alizungumza naye
PPOLE SANA NI MTU MUHIMU SANA KWA NCHI NA FAMILIA YAKE. APONE HARAKA
 
Kwenda mafunzo magumu haimaanishi kwamba hawawezi kupata matatizo yoyote

Tatizo linaweza kutokea muda wowote no matter ww ni strong kiasi gani

Let's say alikosa oxygen, eeeh hapo kuna uhusiano gani na kuwa strong au kupata mafunzo makali
Ingekuwa hivyo ndege zingekuwa zinaanguka kwa sababu rubani alizimia kwa uchovu
 
Juzi tu, kwenye mazishi ya President Jimmy Carter, askari mmoja wa US alidondoka!

Utaniambia USA hawajielewi.?
Ndugu yangu unaleta habari za askari mimi naongelea bodyguard wa rais anayesimama nyuma ya Rais sawa. Huko juu kuna mtu kasema kuna mwanajeshi wa uingereza alianguka kuenda kuangalia alianguka kwenye gwaride.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uncle paul akiwa na hasira na kigugumiz utamuine hurma sana
Utamsikia Anakwambia umegundua eeeh?🀣🀣🀣🀣 Yule ameanza kupika tangu intake ya 19 kina Mrisho pale makutu 🀣🀣
 
Ndugu yangu unaleta habari za askari mimi naongelea bodyguard wa rais anayesimama nyuma ya Rais sawa. Huko juu kuna mtu kasema kuna mwanajeshi wa uingereza alianguka kuenda kuangalia alianguka kwenye gwaride.
Bodyguard pia ni askari mwenye mafunzo ya ulinzi pia au wewe unapoambiwa askari akili yako inakupeleka wapi?
 
Pole Sana s
Dada changamoto ya kiafya yaweza kumtokea mtu yoyote wakati wowote. Alitoa taarifa mapema kama alikuwepo msaidizi wake angewahi nafasi bila watu kujua
 
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.
Wanachoka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…