komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Kuna mengi, aina ya vyakula vya zamani na sasa, maradhi, uchovu nk. Kwani yeye ni chuma asijikie vibaya ?Nepotism maana yaje ni kuoendelea marafiki au ndugu.
Sasa hata ikuwa standards z8meshuka watu wanaajiriwa bika training kufuatikiwa, kwa nini hilo kazima liwe nepotism?
Haiwezekani watu wakakosa training kwa standards kushuka na watu kuwa wazembe tu bika nepotism?
Nepotism is a very soecific charge ambayo ni upendeleo kwa marafiki na dugu. Sasa unahakikishaje kuna uoendeleo wa kirafiji au kindugu hapa na si uzembe na kushuka kwa standards tu?
Na nimeuliza kama ni nepotism, huyu ni ndugu wa nani na kapendelewa na nani? Hujajibu.
Hapyo mambo ya standards za recruutment kudondoka tulinganishe sasa na zamani nimeuliza wanaoijua Ikulu watujuze zamani ilikuwaje.
Duuh. Sina comment hapa. Maana ushahidi wa hili ni ngumu kuipata.Huyo alikuwa anawatumia kingono tu
Hao madikteta wana mbinu za kihuni mno
Mwanamke ana majukumu yake kazi ya ulinzi na jeshi kimsingi haimfai mwanamkeDuuh. Sina comment hapa. Maana ushahidi wa hili ni ngumu kuipata.
Naamini huelewi usemacho! Duniani huko yanawatokea kila siku, sembuse hapo, Dada amejikaza sana.Hii haiwezi kumtokea mtu mweye vigezo vya kuwa mlinzi wa Rais. Huyu yupo hapo kwa sababu ana ndugu au anajuana na watu.
Inasikitisha sana...Maisha,.... watoto wale,waende shule😓
Huu usawa tunaulazimisha ila kiukweli ni kazi ngumu Kwa mwanamke kusimama muda mrefu
Iwepo division of labor, majukumu ya ulinzi yafanywd na wanaume
Akiwa na C ya matron ina kuwaje kaziniLabda amevuja damu nyingi kwenye siku zake(period). Wanawake Wana complications nyingi, wanapaswa kufanya kazi ndogo ndogo tu. Mambo ya gender equality yatawatesa sana
Rais Kikwete mwanamme lakini mbona na yeye aliweweseka na kukaribia kuanguka hivihivi.🤣nilikuwa natafuta comment ya kijinga hivi
Tuambie na huyu alifanyaje ndugu mtaalam wa maswala ya ulinzi wa raisMwanamke ana majukumu yake kazi ya ulinzi na jeshi kimsingi haimfai mwanamke
Hapa ni kuwadhalilisha wanawake huku tukidhani tunawapa haki sawa
Aisee!! Moto wa no reforms no election ndo kwanza umewashwaa!! ila namuombea apone harakaDaah dada kamanda kachoka. Pole sana
Sasa ikifika NO Reforms No election yenyewe itakuwaje
Sio jambo geni kwa askari mwenye mafunzo km umepitia kwata na ukapigishwa kwata kweli najua mtiti unaujua kwa hio hilo kwa maaskari sio jambo la ajabu sana linatokea wengine wanazimia kabisa wanabwebwa na machela kwata linaendelea hakuna kupunzika mwendo mpelampela kwa hio maaskari wanajua hilo ni jambo lipo kwa kila askari kikubwa afya afya ikiyumba tu askari inabidi apunguziwe mzigo wa kazi lasivyo mtamuuaDuh...!.
P
Hahahahaha ajue kuna binadamu yeye kuona damu, jeraha kubwa au maiti ni hali ya kawaida mno kuna watu wamepikika hasa.Kwenye No reform No election hukutani na huyo utakutana na wendawazim ambao hawajali kukutoa uhai na waseme walipiga risasi juu kukuonya ila ukakaidi kwahiyo jipange pia
Si huyo tu. Hata mlinzi wa Prince Charles wa Uingereza yeye alipiga chini na alizimia kabisa. Mlinzi wa Ruto aliporomoka toka kwenye mlango wa gari ikikimbia hadi chini na kubiringita kama tairi. Binadamu tuna mbwembwe kibao ila ukweli tuna ukomo wa kila kitu kuanzia afya, uhai na umri.Tuambie na huyu alifanyaje ndugu mtaalam wa maswala ya ulinzi wa rais
Video: Msaidizi wa Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo azimia na kuanguka jukwaani wakati kiongozi huyo akiwa anahutubia
Wakuu, Huko nchini Ghana, mlinzi wa Rais anayemaliza muda wake Nana Akufo-Addo amezua taharuki baada ya kuzimia na kukata moto wakati Rais huyo anahutubia. Jarida la Punch, limedokeza kuwa mlinzi huyo alianguka muda mfupi tu baada ya Rais huyo anayemaliza muda wake kuanza kuhutubia...www.jamiiforums.com
Poa sana mtabiriMama mwenyewe amestuka kwa kuchelewa! Ingekuwa tukio la hatari linge mpata moja kwa moja
Tunamuombea apone kwa wakati ili aendelee kumlinda Rais wetu.Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia
Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania.
View attachment 3294214
Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina ya kazi ulinzi wa viongozi, hivyo kukosa nafasi ya mapumziko au kutopata vimiminika kama maji n.k vya kutosha mwili usizimike.