VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

Anaitwa komandoo
 
Kama ni mgonjwa abadilishiwe majukumu,hana Msaada Kwa ulinzi wa Rais mpaka hapo
 


Unasahau yule ni binadamu
Anything can happen kwenye mwili wa mtu

Possible presha ilishuka gafla

Hata jk iliwahi kumtokea sijui kama ulikuwa umezaliwa
 
Ndio inakuwaga ivyo
 
Lakini hata huyo mwenye uniform alikuwa Paprexed kwa kutojua nini afanya at time
Yah kwa sababu pale yeye hawezi kufanya jambo lolote tofauti na kumlinda Rais ila nadhani alitoa ishara kuwaita wale wa pembeni wamsaidie
 
Kama ni mgonjwa abadilishiwe majukumu,hana Msaada Kwa ulinzi wa Rais mpaka hapo
Hivi mkuu unaelewa ata unachokiandika hapa?

Ilo jambo humkuta yoyote yule lina sababu mda mwingine uchovu kutopumzika kutokula vizuri kutokunywa maji mengi ukisikia kuna mtu kamuona nyarubi ndio hii
 
Bado hamna chochote na hamna utofauti na kilichotokea kwa mlinzi wa Samia.

MTU unabidi kuwa na uwezo mkubwa wa kusense mfano Mimi hata MTU asiponambia nahitaji sekunde tano kumjua MTU ambaye ni fiti na unfit .

Sasa hapo kwa obama inaonekana wazi Tangia mwanzo Dada hayupo sawa
 


Kwenda mafunzo magumu haimaanishi kwamba hawawezi kupata matatizo yoyote

Tatizo linaweza kutokea muda wowote no matter ww ni strong kiasi gani

Let's say alikosa oxygen, eeeh hapo kuna uhusiano gani na kuwa strong au kupata mafunzo makali
 
Hivi mkuu unaelewa ata unachokiandika hapa?

Ilo jambo humkuta yoyote yule lina sababu mda mwingine uchovu kutopumzika kutokula vizuri kutokunywa maji mengi ukisikia kuna mtu kamuona nyarubi ndio hii
Sawa lakini Kwa nini awe yeye tuu Kila alipo Rais? Ndio protokali zenyewe au? Huoni itakuwa shida kila mara kama hawezi pumzika?

Hii ni mara ya pili.Kama Afya haiwezi kuhimili kusimama mda mrefu abadilishiwe majukumu.
 
Mkuu huwa utaratibu unafanyika huwezi kumtoa mtu kama unavyofikiri taarifa uenda alishatoa ishara katika hatua za kumbadirisha hali ikamzidia
 

Mlinzi wetu naye macho yake yalianza kuwa kama huyo ofisa wa Obama, macho yalianza kuonesha kama mtu aliyepata mfadhaiko wa kukakamaa kuelekea kupoteza fahamu n.k

Tofauti timu ya ulinzi ya Obama walichukua hatua haraka zaidi kama inavyotakiwa
 
Sawa lakini Kwa nini awe yeye tuu Kila alipo Rais? Ndio protokali zenyewe au? Huoni itakuwa shida kila mara kama hawezi pumzika?

Hii ni mara ya pili.Kama Afya haiwezi kuhimili kusimama mda mrefu abadilishiwe majukumu.
Mkuu unaelewa mambo ya kazini?

Mimi na mtetea kwasbabu hio hali humtokea mtu yoyote unaweza toa taarifa ila wakuu wako wakakupendekwza wwe huwenda ana kitu cha ziada wengine hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…