VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

Uchovu..😔😔😔
 
Chochote kinaweza kumkuta yeyote. Kikubwa Uangukaji wa Civ Utakua wa tofauti na Askari😂😂
Nikikumbukaga paredi ya 60jw watu walikuwa wanafunga wkaanza kuanguka anguaka duh hali ilikuwa mbaya
 
Mlinzi wetu naye macho yake yalianza kuwa kama huyo ofisa wa Obama, macho yalianza kuonesha kama mtu aliyepata mfadhaiko wa kukakamaa kuelekea kupoteza fahamu n.k

Tofauti timu ya ulinzi ya Obama walichukua hatua haraka zaidi kama inavyotakiwa
Kusimama pale ni shughuli pevu sana
 
Ungekuwa ushapiga ata paredi moja sizani kama ungemsema vibaya huyo mlinzi mkuu kazi ngumu sio kwamba ha a mafunzo no ila mabadiriko ya mwili kia afya humkuta yoyote af kumbuka huyo kulala mpaka rais ampe ruhusa sasa unaweza endelea akifika nyumbani kwake sio kama wew saa tisa huyo umechomoka umeenda nyumban au saa saba unajiamulia
 
Kupata nafasi kama hii ni bahati pengine aliugua siku nyingi akaona ajikaze hivyohivyo ili asijeakapoteza nafasi hiyo,pamoja na ndumba na ngai nazo zinaweza zikachangia kutoka kwa washindani wake.
Nisinge ona hiii comment uzi ungekuwa batili
 
Hapana,mi naongea kuhusu video mtu anadai Tundu Lissu ame- collapse ghafla wakati anahutubia Lindi Leo,na sasa yuko mahututi.

Kuna mtu aliweka video feki halafu ameiondoa.
Kwa sababu heading ilikuwa inasema "Tundu Lissu ameanguka kuwaani wakati anahutubia,G 55 wafanya yao..."

Ah,yule mlinzi. Nilikuwa sijaziona Ile video.
Kusema alitaka kuanguka is a little bit of an understatement.
That one was definitely going to the floor.
Sasa anataka kuzimia? Kusikia tu Jaji Mkuu atastaafu ndio anataka kuzimia?
Yule mlinzi,I think that is the one. Nilienda Ikulu siku moja. Alikuwa na walinzi wenzake reception.
Na,well, nilikuwa naona kama vile napata hostile reception pale.
Attitude pale it seemed to me ilikuwa,it seemed to me," hivi wewe unafikiria una calibre ya kuingia Ikulu,hivi we unajiona ni shepu ya kuingia Ikulu?"
( Ilikuwa wakati wa Magufuli. )
And for one horrible moment I thought that I would be attacked.
Halafu ghafla yule mlinzi akasema,"Calm down everyone,huyu kwa nini hana mobile telephone?"
 
Lindi Tanzania ziara ya John Magufuli, walinzi wafanya maamuzi baada ya moshi kujitokeza unaoweza kuleta hali yoyote isiyotegemewa

TOKA MAKTABA :
21 Oktoba 2019

Rais azingirwa na moshi unaoonekana kwa macho, pia kuna uwezekano wa hewa kuzingirwa na vitu au hewa isiyoonekana kwa macho

MOSHI / HEWA YAVURUGA MKUTANO WA RAIS MAGUFULI RUANGWA,MLETE HUYO ALIYEWASHA​


View: https://m.youtube.com/watch?v=IiWbvuPFcps
Pamoja tukio la moshi la 'ajabu' iligundulika ni fire extinguisher/ kifaa cha kupuliza kuzima moto lakini ziara ikaghairisha bila kusita kwa mujibu wa protocol ili kubaini ni kifaa cha zimamoto au la n.k
 
Arudishwe mfunzoni akafunzwe jinsi ya kuweza kusimama muda mrefu. Aidha nampa pole.
 
Mmmmm pole zake sana hata kama ni ndugu .......imebuma kimeumana tena hutakuja kumuona pale labda ......
 
Chochote kinaweza kumkuta yeyote. Kikubwa Uangukaji wa Civ Utakua wa tofauti na Askari😂😂
Training za CDOs siyo za namna unavyodhani. Endurance is a key to become a member.
Mazoezi ya kutosha humuweka askari fit, Hawa wataalamu wanakosa mazoezi ya utimamu ya kutosha. Acheni kudanganyana eti yeyote anaweza kukutwa na Hali hii. Hii ni physical fatigue inayosababishwa na kutokuwa na physical fitness.
Simaanishi kuwa CDO hawezi kukumbwa na changamoto ila the folks are quick to take cover!
Shuruba za Special Force siyo za kuja kushindwa kustahimili kusimama muda mrefu.
Hawa wataalamu wapatowe
Hujui kitu mkuu usiseme ivyo ushawai piga paredi au kuona maandaliz ya paredi?
maandalizi ya paredi gani? Au hata hujui maana ya paredi?
 
Iwe pared ya kitaifa au yoyote ile ilo swala kawaida huyo kazini kumbuka hatoki saa tisa kumbuka ilo sio kama ww unawez toroka kazini kwako saa 7 mchana unapata mda wa kupumzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…