Najibu paragraph ya mwsho, hivi kumbe huwa mnapinga ushoga kisa kuzaliana na kuendeleza ukoo au familia? Kwan kuzaa ni lazima? Maana unaweza kuzaa watoto straight na wasizae pia, kwa sababu ni maamuzi yao? Wengine wanashindwa kuzaa kisa matatizo ya ugumba na tasa, je hawa nao ni mashoga? Afu mbona kuna mashoga wanazalisha, au hujui hili?
Sijawahi kuona hoja mahsusi au zenye mashiko zinazofanya ushoga upingwe, na siku nikiziona wallah nitakua mstari wa mbele ktk kupinga hili.
Nyie wazazi pingeni na kluea watoto wenu huko majumbani, sio kuanza kusakama watu na projects zao, afu hao wazungu wakitaka kuwamaliza nyie wa Africa mbona dkk chache tyuuh, au mnajitoaga ufahamu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]