Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
We jamaa unapenda sana nongwa dadeq zakoSimu yake ikaguliwe akikutwa na namba ya Papa huo ni ushahidi hatua kali zichukuliwe
😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa unapenda sana nongwa dadeq zakoSimu yake ikaguliwe akikutwa na namba ya Papa huo ni ushahidi hatua kali zichukuliwe
Hapa sasa, mzazi kuzaa ni maamuzi yake, na mtoto kuzaa ni maamuzi yake? Sababu sio lazima.Unaposema kwani Kuzaa ni lazima imagine Wazazi wote wangekuwa na mtazamo kama wako, vipi Kizazi hiki kingekwepo?
Uzazi ni urithi, imagine Bwana Macdonald's angekuwa na mtazamo kama wako, baada ya Kifo unadhani tungeendelea kulisikia jina hilo?
Usiniambie hauna mpango wa kumzalia Mkwe wangu pindi akimaliza kukutolea mahari [emoji12], Tena kumfurahisha unamletea watoto Kopilaiti kabisa [emoji12][emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23] hii ndo hoja yako? Bas hata huo ushost kufutika usahau.We tatizo lako mknd unawasha vizuri unaposuguliwa ndo maana unaona hakuna sababu ya kufuta ushost.
😇😇😇Mbona hapa wanatambulika? Sitaki kuamini wee hujui hili.
Au nikuletee ushahidii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na km kujiachia wanajiachia sana tyuuh, huko mashughurini kila leo ni matarumbeta na vigomaa. Woiiiih
Pengine hukunielewa. Katika kila nilichokiandika nilieleza kuhusu ushawishi ulivyo muhimu katika mabadiliko ya tabia, exposure nayo inaweza kuwa ni chimbuko la mabadiliko ya tabia. Na nikamalizia kwa kueleza kuwa, kukemea nako kunaweza kunusulu mtu kutumbukia katika uovu. Mama Rudia kusoma utanielewaKwahiyo unataka kuniambia ushoga hapa Bongo unaletwa na wazungu? Au hao wazungu ndo wanawalazimisha muwe mashoga?
Yaan wazungu wakitaka Tz iwe na ushoga kwa wingi na wakiamua wanaweza wala hawawezi kutumia nguvu, kuhusu porno kwan vijana hao wameshikiwa akili watazame? si wanataka wenyewe?
Hyo scenario yako ya shule na huyo Bottom, wee ndo ulikua una uhitaji sio yeye, maana ndo ulitengeneza mazingira rahis kwako uweze kumla, kwan yeye ndo alikushawishi? Ndo mambo yenu haya mnawafata wenyewe gays, afu mnasingizia wao ndo wanawasumbua Lol
Unafiki huu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ya kwanza inaweza ikawa ya kishoga, tatizo hatuna kitabu kizima, lakini ni ngumu kumuelezea mtoto wa kitz inakuaje ya kishoga mpaka aelewe
Hiyo ya pili sio ya kishoga, cross dressing in halloween isn't gay
Tutajie hicho chama mbadala watu tu-Cross floor miaka minne imetosha.Jamii ipo njiapanda
CCM wanasaka kura, wanaokota kila kokoro wanaloona litawasaidia. Hii ishu ya ushoga ni pure inatokana na loopholes zilizowekwa na CCM.
Chama mbadala kikipewa madaraka kiweke sera za kuokoa kizazi
Najua unataka nikutajie CDM nami sikutajii.Tutajie hicho chama mbadala watu tu-Cross floor miaka minne imetosha.
😆😆 Ndio nishasema hivyoBado hujasemaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushoga unapunguza uzaoHapa sasa, mzazi kuzaa ni maamuzi yake, na mtoto kuzaa ni maamuzi yake? Sababu sio lazima.
Ninacho pinga mie ni kusema ushoga utapunguza uzao endelevu, wakati sababu ziko nyingi tena kuzidi hyo ya ushoga, huyo MacDonald uzao wake kuendelea ulitokana na watoto wake kuendelea kuzaliana, na pia wangeweza kutozaa kabisa sababu yote ilikua chini ya maamuzi yao.
Mie kuzaa au kutozaa itakua chini ya matakwa yangu, nikitaka kuzaa bas nitazaa kwa kuwa nahitaji mtoto mie binafsi, sio kisa kuendeleza ukoo, na nisipotakaa kuzaa bas sitazaa kwa kuwa sihitaji mtoto, na hakutakua na sababu ingne.
Mknd ukitekenywa huwa unapata raha pengine, ukinyonywa pia 😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23] hii ndo hoja yako? Bas hata huo ushost kufutika usahau.
Siafiki hili hata kidogo.Pengine hukunielewa. Katika kila nilichokiandika nilieleza kuhusu ushawishi ulivyo muhimu katika mabadiliko ya tabia, exposure nayo inaweza kuwa ni chimbuko la mabadiliko ya tabia. Na nikamalizia kwa kueleza kuwa, kukemea nako kunaweza kunusulu mtu kutumbukia katika uovu. Mama Rudia kusoma utanielewa
Yaan hapo badooo[emoji38][emoji38] Ndio nishasema hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuhMknd ukitekenywa huwa unapata raha pengine, ukinyonywa pia [emoji28][emoji28][emoji28]
Paragraph ya mwsho ndo inaua hoja ya kuzaliana au kuendeleza ukooo/familia ktk kupinga ushoga.Ushoga unapunguza uzao
Chukulia kwamba Mwanaume anaingia kwenye mahusiano na Mwanaume mwenzake, kwenye Ndoa ya watu Hawa tunaweza kutarajia watakuja kupata mtoto/watoto kutoka kwenye viuno vyao?
Ndoa ili itulie lazima Mama azae, kama hatazaa Kuna uwezekano Mkubwa akatafutiwa msaidizi.
Ndiyo maana Ibrahim kwenye Kitabu cha Agano la kale, mkewe Sarah alipochelewa kumbebea mimba alimwambia mumewe alale na Dada wa kazi.
Hii inaonesha ni Jinsi gani Mtoto/watoto walivyo muhimu kwenye kudumisha Ndoa
Wewe pia ukiolewa ni lazima umzalie Mkwe wangu vinginevyo lanfa muamue Kwa pamoja kutokuwa na Watoto
Mi nachekagaa tu na kupiga kwenye mshono 😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuh
Hahaha...........kwamba Kuna familia inaamua kutokuwa na Watoto?Paragraph ya mwsho ndo inaua hoja ya kuzaliana au kuendeleza ukooo/familia ktk kupinga ushoga.
Sisi tutamchagua yeyote mwenye sera nzuri. Maana Bara tumekuwa watoto yatima. Hata Mzee Rungwe akiwa serious zamu hii anakula Urais.Najua unataka nikutajie CDM nami sikutajii.
Mmezoea kutafuniwa ndoaana kila kukicha mnaichagua ccm na kuja kulalamika miaka ypte 5 ya utawala wao