Video: Mzungu akamatwa kwa kugawa vitabu vya ushoga kwa watoto

Unaposema kwani Kuzaa ni lazima imagine Wazazi wote wangekuwa na mtazamo kama wako, vipi Kizazi hiki kingekwepo?

Uzazi ni urithi, imagine Bwana Macdonald's angekuwa na mtazamo kama wako, baada ya Kifo unadhani tungeendelea kulisikia jina hilo?

Usiniambie hauna mpango wa kumzalia Mkwe wangu pindi akimaliza kukutolea mahari [emoji12], Tena kumfurahisha unamletea watoto Kopilaiti kabisa [emoji12][emoji847]
Hapa sasa, mzazi kuzaa ni maamuzi yake, na mtoto kuzaa ni maamuzi yake? Sababu sio lazima.

Ninacho pinga mie ni kusema ushoga utapunguza uzao endelevu, wakati sababu ziko nyingi tena kuzidi hyo ya ushoga, huyo MacDonald uzao wake kuendelea ulitokana na watoto wake kuendelea kuzaliana, na pia wangeweza kutozaa kabisa sababu yote ilikua chini ya maamuzi yao.

Mie kuzaa au kutozaa itakua chini ya matakwa yangu, nikitaka kuzaa bas nitazaa kwa kuwa nahitaji mtoto mie binafsi, sio kisa kuendeleza ukoo, na nisipotakaa kuzaa bas sitazaa kwa kuwa sihitaji mtoto, na hakutakua na sababu ingne.
 
Mbona hapa wanatambulika? Sitaki kuamini wee hujui hili.
Au nikuletee ushahidii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na km kujiachia wanajiachia sana tyuuh, huko mashughurini kila leo ni matarumbeta na vigomaa. Woiiiih
😇😇😇
 
Kwahiyo unataka kuniambia ushoga hapa Bongo unaletwa na wazungu? Au hao wazungu ndo wanawalazimisha muwe mashoga?

Yaan wazungu wakitaka Tz iwe na ushoga kwa wingi na wakiamua wanaweza wala hawawezi kutumia nguvu, kuhusu porno kwan vijana hao wameshikiwa akili watazame? si wanataka wenyewe?

Hyo scenario yako ya shule na huyo Bottom, wee ndo ulikua una uhitaji sio yeye, maana ndo ulitengeneza mazingira rahis kwako uweze kumla, kwan yeye ndo alikushawishi? Ndo mambo yenu haya mnawafata wenyewe gays, afu mnasingizia wao ndo wanawasumbua Lol

Unafiki huu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pengine hukunielewa. Katika kila nilichokiandika nilieleza kuhusu ushawishi ulivyo muhimu katika mabadiliko ya tabia, exposure nayo inaweza kuwa ni chimbuko la mabadiliko ya tabia. Na nikamalizia kwa kueleza kuwa, kukemea nako kunaweza kunusulu mtu kutumbukia katika uovu. Mama Rudia kusoma utanielewa
 
Hiyo ya kwanza inaweza ikawa ya kishoga, tatizo hatuna kitabu kizima, lakini ni ngumu kumuelezea mtoto wa kitz inakuaje ya kishoga mpaka aelewe

Hiyo ya pili sio ya kishoga, cross dressing in halloween isn't gay
Jamii ipo njiapanda
CCM wanasaka kura, wanaokota kila kokoro wanaloona litawasaidia. Hii ishu ya ushoga ni pure inatokana na loopholes zilizowekwa na CCM.

Chama mbadala kikipewa madaraka kiweke sera za kuokoa kizazi
Tutajie hicho chama mbadala watu tu-Cross floor miaka minne imetosha.
 
Najua unataka nikutajie CDM nami sikutajii.

Mmezoea kutafuniwa ndoaana kila kukicha mnaichagua ccm na kuja kulalamika miaka ypte 5 ya utawala wao
 
Mijitu inasema kitabu hakina elements za ushoga, basi kinafundisha nini? Siasa ni kilimo?
 
Hapa sasa, mzazi kuzaa ni maamuzi yake, na mtoto kuzaa ni maamuzi yake? Sababu sio lazima.

Ninacho pinga mie ni kusema ushoga utapunguza uzao endelevu, wakati sababu ziko nyingi tena kuzidi hyo ya ushoga, huyo MacDonald uzao wake kuendelea ulitokana na watoto wake kuendelea kuzaliana, na pia wangeweza kutozaa kabisa sababu yote ilikua chini ya maamuzi yao.

Mie kuzaa au kutozaa itakua chini ya matakwa yangu, nikitaka kuzaa bas nitazaa kwa kuwa nahitaji mtoto mie binafsi, sio kisa kuendeleza ukoo, na nisipotakaa kuzaa bas sitazaa kwa kuwa sihitaji mtoto, na hakutakua na sababu ingne.
Ushoga unapunguza uzao

Chukulia kwamba Mwanaume anaingia kwenye mahusiano na Mwanaume mwenzake, kwenye Ndoa ya watu Hawa tunaweza kutarajia watakuja kupata mtoto/watoto kutoka kwenye viuno vyao?

Ndoa ili itulie lazima Mama azae, kama hatazaa Kuna uwezekano Mkubwa akatafutiwa msaidizi.

Ndiyo maana Ibrahim kwenye Kitabu cha Agano la kale, mkewe Sarah alipochelewa kumbebea mimba alimwambia mumewe alale na Dada wa kazi.

Hii inaonesha ni Jinsi gani Mtoto/watoto walivyo muhimu kwenye kudumisha Ndoa

Wewe pia ukiolewa ni lazima umzalie Mkwe wangu vinginevyo lanfa muamue Kwa pamoja kutokuwa na Watoto
 
Pengine hukunielewa. Katika kila nilichokiandika nilieleza kuhusu ushawishi ulivyo muhimu katika mabadiliko ya tabia, exposure nayo inaweza kuwa ni chimbuko la mabadiliko ya tabia. Na nikamalizia kwa kueleza kuwa, kukemea nako kunaweza kunusulu mtu kutumbukia katika uovu. Mama Rudia kusoma utanielewa
Siafiki hili hata kidogo.
 
Ushoga unapunguza uzao

Chukulia kwamba Mwanaume anaingia kwenye mahusiano na Mwanaume mwenzake, kwenye Ndoa ya watu Hawa tunaweza kutarajia watakuja kupata mtoto/watoto kutoka kwenye viuno vyao?

Ndoa ili itulie lazima Mama azae, kama hatazaa Kuna uwezekano Mkubwa akatafutiwa msaidizi.

Ndiyo maana Ibrahim kwenye Kitabu cha Agano la kale, mkewe Sarah alipochelewa kumbebea mimba alimwambia mumewe alale na Dada wa kazi.

Hii inaonesha ni Jinsi gani Mtoto/watoto walivyo muhimu kwenye kudumisha Ndoa

Wewe pia ukiolewa ni lazima umzalie Mkwe wangu vinginevyo lanfa muamue Kwa pamoja kutokuwa na Watoto
Paragraph ya mwsho ndo inaua hoja ya kuzaliana au kuendeleza ukooo/familia ktk kupinga ushoga.
 
Maneno kama "Pink Dress" na "Drag Queen" na "Pride" huku Bongo nani anajua haswa yana maana gani labda kwa wale walioishi Nchi za Magharibi
 
Paragraph ya mwsho ndo inaua hoja ya kuzaliana au kuendeleza ukooo/familia ktk kupinga ushoga.
Hahaha...........kwamba Kuna familia inaamua kutokuwa na Watoto?

Labda kama Mume alishakuwa nao huko nyuma kabla Yako then aamue kutokuzaa na wewe mke mpya
 
Najua unataka nikutajie CDM nami sikutajii.

Mmezoea kutafuniwa ndoaana kila kukicha mnaichagua ccm na kuja kulalamika miaka ypte 5 ya utawala wao
Sisi tutamchagua yeyote mwenye sera nzuri. Maana Bara tumekuwa watoto yatima. Hata Mzee Rungwe akiwa serious zamu hii anakula Urais.
 
Back
Top Bottom