Video: Mzungu akamatwa kwa kugawa vitabu vya ushoga kwa watoto

Video: Mzungu akamatwa kwa kugawa vitabu vya ushoga kwa watoto

Hao watoto wenu muwalinde kwenu, yaan mtu asijiachie kisa mtoto wako? Km huwezi kumlea mwanao ni tatizo lako.
Akajiachie huko kwao ulaya aliemwambia tunataka mavitabu yake nani??..
Na hao mashoga wanaotaka kujiachia waende wakaishi huko kwny nchi zinazowatambua....
 
Watu wanajitoa ufahamu au ndio ujinga wa mtu Mweusi. Huyo mzungu mjinga tu na anastahili kushughulikiwa. Ngoja wanaotetea tuulize.
1. Je huyo mzungu ikiwa ana vitabu amepita kwenye mamlaka husika ili aende kwa kuzingatia taratibu?.
2. Je watu tunaelewa akili ya mtoto kuanzia miaka 0 hadi 5 anahitaji kufunzwa nini?
3. Nani anajua Halloween ni trick za namna gani? Na zinafundisha nini?
4. Babu( mzee wa kiume) kupaka rangi za midomo inafunza nini mtoto?
Watu tumeondolewa ufahamu kwa kufunzwa tamaduni ambazo sio zetu ndio maana nchi imejaa ma Prof lkn hawana uwezo wa kuleta suluhu ya shida za watu tuko trained to serve the master's ambao ndio hao wanagawa vitabu. Kama wana upendo walete vitabu vya utamaduni na mazingira yetu.
Ni ujinga na upuuzi kufunza mtoto kuteleza kwenye barafu katika eneo la Ikweta. PERIOD
 
Wamshughulikie mapema kabisa kabla hajaharibu wadogo zetu. Hawa watu weupe sijui wana agenda gani na ushoga
 
Ndio maana nasema Msiwe mnapeleka watoto wenu shule za English Mediums. Kuna ushetani mwingi sana umeandikwa kwa lugha ya kiingereza. Nyerere hakuwa mjinga kuweka mfumo watoto waanze kiingereza wakifika form one.
 
"He wore a pink dress".All his hair he dyed".Alafu mtu anasema ni kitabu cha kawaida.Hapo mwanao akisoma soon ataanza.kuvaa magauni kisha baadae unalalamika mtoto kabadilika,hiki kitabu kinapandikiza mentality za ushoga kwa watoto kidogo kidogo kuvaa gauni kwa mtoto wa kiume sio mbaya?
Halloween sio ushoga
 
Hiyo ya kwanza inaweza ikawa ya kishoga, tatizo hatuna kitabu kizima, lakini ni ngumu kumuelezea mtoto wa kitz inakuaje ya kishoga mpaka aelewe

Hiyo ya pili sio ya kishoga, cross dressing in halloween isn't gay
Psychologically wanamzoesha mtoto taratibu
 
Kwani joti havaagi magauni? Issue ni kuvaa gauni Kwa muktadha upi labda kavaa kachanganyikiwa ,anaigiza ,mwizi, jasusi etc so content ya hicho kitabu ni ushoga kweli au?
Naona unatumia nguvu nyingi kuhalalisha jambo hili. Huyu Mzungu ametoka kwao, ameleta vitabu ambavyo vinahimiza Wanaume kuvaa magauni ya pinki, halafu wewe unaona ni jambo la jema????
 
Kwamba ungependa waachwe waendelee kueneza huo ushoga hadharani Mkuu?

Nilidhani suala la ushoga libaki kama maamuzi binafsi ya mtu kwamba awe ama asiwe ila hutakiwi kumfundisha mtoto ili aje aingie huko kutokana na influence za mafundisho Yako

Kama Wazazi tuiunge Mkono Serikali kwenye kupiga vita hayo mafundisho kwaajili ya kesho ya Vizazi vyetu.

Unadhani kwenye familia ukipata watoto wote wamekuwa mashoga hivyo Vizazi vyetu vitaendelezwa na nani? Ama wanataka Siku Grahams nikifa basi na ukoo wa Grahams ufe Siku hiyo hiyo maana hakutakuwa na mtoto atayekuwa rijali wa kuendeleza jina
Najibu paragraph ya mwsho, hivi kumbe huwa mnapinga ushoga kisa kuzaliana na kuendeleza ukoo au familia? Kwan kuzaa ni lazima? Maana unaweza kuzaa watoto straight na wasizae pia, kwa sababu ni maamuzi yao? Wengine wanashindwa kuzaa kisa matatizo ya ugumba na tasa, je hawa nao ni mashoga? Afu mbona kuna mashoga wanazalisha, au hujui hili?

Sijawahi kuona hoja mahsusi au zenye mashiko zinazofanya ushoga upingwe, na siku nikiziona wallah nitakua mstari wa mbele ktk kupinga hili.

Nyie wazazi pingeni na kluea watoto wenu huko majumbani, sio kuanza kusakama watu na projects zao, afu hao wazungu wakitaka kuwamaliza nyie wa Africa mbona dkk chache tyuuh, au mnajitoaga ufahamu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom