Video: Mzungu akamatwa kwa kugawa vitabu vya ushoga kwa watoto

Video: Mzungu akamatwa kwa kugawa vitabu vya ushoga kwa watoto

Kitabu nimekicopy ndio hiki je wataalamu kuna code zozote zimefichwa humu, kimeandikwa in poetic form.

THE GRANDPA THAT NEVER GREW UP

There once was a man
That was pretty old
Who did silly things and
Who couldn't be told.

When I asked
About his age,
He smiled and said,
"Have you seen me on stage?"
He took me into town,
And right then and there,
He hopped on a mic
And sang along with cher.

There was the time
He took me to pride.
He wore a pink dress;
All his hair he dyed.
Screenshot_20240131-235521_Chrome.jpg

Then there was
That halloween
He put on makeup
And went as a queen.
Screenshot_20240131-235546_Chrome.jpg

I asked him once
If he'd ever retire
"Do i look like milk
With a date to expire?"

"Flip me over
Check out my feet,
A ring for each year.
I age like a treat."
 
Kwani joti havaagi magauni? Issue ni kuvaa gauni Kwa muktadha upi labda kavaa kachanganyikiwa ,anaigiza ,mwizi, jasusi etc so content ya hicho kitabu ni ushoga kweli au?
Kavaa kama mtoko wa Halloween, ni mtoko wa kuvaa vintage yeye kava kama mwanamke na kujipaka makeup 💄
 
Nakumbuka hivyo vitabu vilipigwa marufuku Mwaka Jana, nadhani ilikuwa Mwezi March hivi.

Kuna kikao tulifanya na PM - Majaliwa nakumbuka ndiyo alitoa maelekezo ya Serikali kuhusu hili swala.

Kama hao washenzi wanaendelea na hizo nia zao ovu za kueneza ushoga nashauri Sheria Kali zitumike kuwaadabisha
Hao wananchi walitakiwa wachukue sheria mkononi, wangemgawana huyo mbibi!
 
Wala hakuna content za kishoga hapo.

Niungane na baadhi wenye msemo kuwa, watu wamejawa unafiki tu

Cc Dejane
cocastic
Inawezekana kuna mtu kaona combination ya rangi ya njano kijani na bluea akasema ni ushoga maana kwenye video nimesikia sauti ya mwanamke akilalamika sasa kama hajui kusoma ila anajua kutambua rangi mbili au tatu ...matokeo yake ni hayo
 
Inawezekana kuna mtu kaona combination ya rangi ya njano kijani na bluea akasema ni ushoga maana kwenye video nimesikia sauti ya mwanamke akilalamika sasa kama hajui kusoma ila anajua kutambua rangi mbili au tatu ...matokeo yake ni hayo
Huyo mfat mkumbo rangi za ushoga zipo kwenye maandishi ya kitabu sio picha na kwenye hayo maandishi mpaka uunge pattern...mfano hii full sentence
Screenshot_20240131-235521_Chrome.jpg
 
Hao wananchi walitakiwa wachukue sheria mkononi, wangemgawana huyo mbibi!
Kwa kweli Mkuu

Haya mambo wakiyaacha yaendelee itafikia kipindi ushoga/ulawiti yatakuwa kufikia enzi za sodoma ambapo itafikia kipindi watu watataka kuingiliana na Wanaume wenzao badala ya Wanawake.
 
Na wao wata waadabisha afu mtaona nani ana nguvu, muulize Jpm na Makonda wake, watakupa majibu mujarabuu.
Kwamba ungependa waachwe waendelee kueneza huo ushoga hadharani Mkuu?

Nilidhani suala la ushoga libaki kama maamuzi binafsi ya mtu kwamba awe ama asiwe ila hutakiwi kumfundisha mtoto ili aje aingie huko kutokana na influence za mafundisho Yako

Kama Wazazi tuiunge Mkono Serikali kwenye kupiga vita hayo mafundisho kwaajili ya kesho ya Vizazi vyetu.

Unadhani kwenye familia ukipata watoto wote wamekuwa mashoga hivyo Vizazi vyetu vitaendelezwa na nani? Ama wanataka Siku Grahams nikifa basi na ukoo wa Grahams ufe Siku hiyo hiyo maana hakutakuwa na mtoto atayekuwa rijali wa kuendeleza jina
 
Ama wanataka Siku @Grahams nikifa basi na ukoo wa @Grahams ufe Siku hiyo hiyo maana hakutakuwa na mtoto atayekuwa rijali wa kuendeleza jina
Na ndiyo wanataka iwe hivyo! Hawa jamaa nyoko sana wanatakiwa wadhibitiwe mmoja mmoja! Kwao uzazi umeshuka hadi huruma na Afrika tukikomaa tutakuja kuitawala dunia! Tutakuja na sisi kufanya Scramble of Europe!
 
Na ndiyo wanataka iwe hivyo! Hawa jamaa nyoko sana wanatakiwa wadhibitiwe mmoja mmoja! Kwao uzazi umeshuka hadi huruma na Afrika tukikomaa tutakuja kuitawala dunia! Tutakuja na sisi kufanya Scramble of Europe!
Kama hiyo ndiyo nia yao tuungane kuwakataa.

Hawajui ki asili Mwanaume huona fahari akiona anapata watoto wa kuendeleza Jina la Ukoo wake.

Ndiyo maana Kwa kutambua hilo, hata Sarah aliyekuwa Mke wa Ibrahim kwenye agano la kale alimwambia Mume wake alale na House Girl ili ambebee Mimba kwaajili ya kuendeleza Ukoo wa Ibrahim.

Sasa vipi kama ingekuwa watoto wote wa Ibrahim wangekuwa wamekuwa mashoga ama wanawaingilia Wanaume wenzao, huo Ukoo wa Ibrahim ungekuwa/kuongezeka saa ngapi? Maana Wanaume hawabebi mimba
 
Me nahisi Jamie zetu tunahitaji kurudi shule sana aisee.

Yani hadi aibu, nikajua kuna picha maybe wanaume wanapandiana au maelezo ya kuhamasisha upuuzi wa kishoga,aisee.
Wewe ndio urudi shule sio jamii.
Sababu hadi leo bado unajifunza kwa picha na wala sio maandishi.
 
Back
Top Bottom