Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

Pole Nape kaka yangu na haya ndiyo malipo ya bao la mkono,hakika malipo ni hapahapa na dhambi ya kuzuia mabadiliko itakugharimu sana.
Angalia ulikotika na ulipo sasa ndipo utakapojua ya kuwa ukiwa ccm umelaaniwa na viumbe vyote.
 
Nape lazima arudishwe kwenye cheo chake cha uenezi. Kazi za utendaji haziwezi. Huu ni mchezo wa siasa. Performance ya hawa watoto wa kambo akina Polepole ipo very shabby. Polepole arudi kwenye uanaharakati, na nape arudi kwenye siasa. Hapo kutakuwa na balance.

I doubt if this is a genuine move. All these are staged events......................... See you later...
 
Ila nape alikuwa ndio ananza kufit kwene ile kitengo cha uwazi japo walisema hawezi but angeendelea kuwepo ile idara ingefika mbali kwa kweli,,
 
Hii ni mila ya kwao wamakonde msichanganye na siasa.

Nakumbuka hata mama wangu alipoolewa alitembea Kama Nnape juu ya wamama wengine ikiwa ni ishara ya heshima. Ametukuka....
mama yako aliolewa na baba yako tayari ushazaliwa mkuu
 
Nape bado namkubali na nina muombea Mungu Magu amfikirie tena
 
Completely staged. Msimtumainie Nape. Yeye sie masihi wa nchi hii. He is sent by the chief conspirator. Your enemy is the chief conspirator
 
Wamekosea sana ao wamama kuweka mikundu yao apte nape, nayeye nape km kapita kafanya bonge la kosa
 
Magu atafanya hivyo KWA FAMILIA IPI..?? Au umemjulisha mpk Makonda kama first born wake..??

Usifananishe support aliyokuwa anapata JK kutoka katika familia yke kisiasa, na familia ya Magu. Mke wake mwenyewe anaonekana kwa machale kma Kakakuona, na anaonekana akiwa very cool. Mtoto binafsi sijawahi kumuona zaidi ya kumsikia jina.

JK anaonekana ana happy family, na wanasapotiana sn baba, mama na watoto. Hta kama wana matatizo yao ya kifamilia, bas thank God wameweza kuyaficha kiasi.
 
Hivi ni kweli nape kapita juu ya hao wa mama ? Aaaqh kma kweli mkuu hapao kidogo umekosea jaman ..ni m
Kweli?
 
sawa batuli
 
Link Mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii;;WAZO LA PINDA;
 
Madawa ya kulevya.. hilo ndio jibu la yote hayo ulouliza.
 
Kwa serikali, uovu mdogo hufunikwa kwa uovu mkubwa zaidi. Inategemea zaidi ni nini,,,,,,,,,,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…