Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

huwezi pishana kiswahili na boss hadharani . ndiyo tumefundishwa hivyo
Utii ukizidi unakuwa uoga na ukiendelea unakuwa mnafiki.....
Sasa, ukishaona hivyo unasimamia unachoona ni sahihi. Kwasababu boss ni binadamu kama wewe wala siyo malaika
 
SALARY SLIP, YAANI WEWE UNATAKA DR.MAGUFULI AJIREKEBISHE KIVIPI SASA.ARUHUSU WIZI WA FEDHA ZA SERIKALI ? ARUHUSU MANUNUZI HEWA SERIKALINI ? ARUHUSU WATU WAJIONGEZEE KIPATO KWA NJIA ZA DILI ? KAMA NYIE WACHACHE MLIOZOEA KUPATA FEDHA ZA DILI BILA YA KUFANYA KAZI HALALI MNAMCHUKIA MH.RAIS, ANDIKENI TU KWAMBA MMEUMIA.SISI TUNAOMPENDA NINA UHAKIKA TUKO WENGI KULIKO NINYI.MHESHIMIWA RAIS ENDELEA KUWANYOOSHA.SISI TUNAENDELEA KUKUOMBEA KWA MUNGU AENDELEE KUKUJALIA AFYA NJEMA NA MAISHA MAREFU KAMA MZEE MWINYI(RUKSAA) NA MZEE MUGABE(RAIS WA ZIMBABWE).
 
Sasa NAPE alichokosea nn?zaidi ya kumwona BASHITE ana hatia kuvamia clouds... nani asiejuwa kama... UKIMWONA SWALA ANARINGA MBUGANI...elewa ana undugu na SIMBA..na chui MJOMBA WAKE..
kwa lilitokea clouds tukiaaminishwa kwa video ya cctv camera ikiwa hata polisi hawajui kwa vile halijalipotiwa plus malalamiko ya mitandaoni sio suala la kumwinua waziri kulivalia njuga ikiwa hata mkuu wa wilaya haelewi chochote. kwa hiyo unagundua kuwa waziri alikurupuka kwa masilahi yake binafsi. lkn isitoshe hata baada ya Mh Rais Dr JPM kutoa tamko kuwa wamwache Mh Mkuu wa Mkoa achape kazi tuachane na mambo ya mtandaoni ilikuwa ni maelekezo tosha kuwa waziri anakurupuka lkn bado waziri Nape aliunda tume kuzzihirisha kuwa anakinzana na kauli za rais. watanzania tufike wakati tutambue nafasi ya rais ktk nchi na mamlaka aliyonayo. tulizoeshwa vibaya tunamchukulia rais kama balozi wa nyumba kumi au mwenyekiti wa kijiji ndiyo maana kila kitu tunahoji hoji ,... nashukuru kwa kupata rais mwenye misimamo tutanyoka tu
 
Utii ukizidi unakuwa uoga na ukiendelea unakuwa mnafiki.....
Sasa, ukishaona hivyo unasimamia unachoona ni sahihi. Kwasababu boss ni binadamu kama wewe wala siyo malaika
ndiyo yale sasa anapita kupiga piga kelele hadi anasahau naye alituletea za kuleta kwenye bunge live, sheria ya vyombo vya habari na kushinikiza cybercrime. na mijitu ilivyo mishabiki shabiki hata haimuulizi vipi bunge live, inamwita shujaa shujaa wa wapi.
 
Mi nna uhakika 100% hao watu Nape amewaandaa tu ili apate kick. Watu wa Mtama hawawezi kujaaa ktk mkutano wa Nape. Yeye mwenyewe anajua vizuri wananchi wake wakoje
 
wapasulie ukweli siyo wanaleta ushabiki ushabiki tu hapa . Mh Rais wanyosheeeee
 
Mtanyoooka tu!

Akina nani watanyooka?Nape?

Hujielewi wewe?Nenda kapime kwashakoo
 
Mi nna uhakika 100% hao watu Nape amewaandaa tu ili apate kick. Watu wa Mtama hawawezi kujaaa ktk mkutano wa Nape. Yeye mwenyewe anajua vizuri wananchi wake wakoje
kwanza si ndiyo huko alishinda kwa goli la mkono
 
Mh. Nape namna alivyopokelewa na akina mama ambao walikubali kulala chini ili apite juu yao kuelekea sehemu iliyoandaliwa mkutano.
 
Mkuu, haya machadema ni majinga sana
 
Nimeamini wapinzani wana roho ngumu sana.....wao hata uwakanyage vipi...huwa hawalii...
 
Ina maana hata wewe wakubwa zako wakitaka kukula 0713 hutokataa?
tatizo la wabongo huwa hawataki kubishana kwa hoja wanahama key au wanahama mada. concentrate kwenye point. umesikia nape aliombwa hiyo? twende kwenye hoja
 
Jinyonge tujue uko upande wa mkulu au nape
 


Unajua wengi wamebwanwa, hawana hamu. Matanuzi ya kabla wanayalilia. Huyu maslahi yake yameguswa haswa anajulikana kwa mengi, anasema atatumia pesa yake kuendeleza jimbo, anawadanganya wananchi wa Mtama, je kwanini hakusema anapewa pesa ya kuendeleza jimbo. Anapondea serikali haijafanya chochote jimboni, na kuwaahidi atatoa pesa zake yeye. Anaiponda live kabisaaa...... hatari anayooka analia

Je hizo pesa zake zinatoka wapi!? Mshahara!? Hiyo nini tena kama sio pesa anazozipigania wawe huru tena kuzitafuna kwa kuvunja sheria na kuumiza watoto wa watu... ndio atumie pia jimboni. Eeeeh

Huwezi kuwa Kiongozi tangu 2015 hujafika kwenu, ha ha haaaa inamuuma kama vile chama na serikali ni ya familia yake.

JPM akaze buti tu, na Makonda nae kama kawa.

Nchi hii inatakiwa kunyooshwa.

Nape analia kama vile uwaziri alizaliwa nao, maslahi yake na kutaka kuvunja juhudi ya serikali vimejulikana na akatemwa. Na bado leo kachemka na kuonyesha mengi zaidi. Mnafiki hampendi Raisi wetu
 
Mi nna uhakika 100% hao watu Nape amewaandaa tu ili apate kick. Watu wa Mtama hawawezi kujaaa ktk mkutano wa Nape. Yeye mwenyewe anajua vizuri wananchi wake wakoje
Inaonekana unajua vitu vingi sana vya Nape au wewe ndiye MRS wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…