Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

Mkuu siku hizi mtu wa kumshikia akili hayupo, tunajua nyeusi na nyeupe, wewe teteaaaaaa saaaana pondaa sana kwa wanaotaka haki itendeke, mwisho ukweli haubadiliki hasa kwa huyo umteteae
 
Alikuwa analipwa kwa kazi hiyo
 
Alikuwa analipwa kwa kazi hiyo
Tena pesa nyingi tu hadi akawaambia wafuasi wa lowasa kuwa anawapa millioni 5 pale pale lowasa akiongea dk 15..INA maana hiyo ni pocket money tu aliyokuwa anatembea nayo.. Si kwamba alikuwa muajiriwa wa serikali au binafsi au mfanyabiashara..ni mpiga domo tu wa chama ana pocket ya zaidi ya mill 5.. Teh
 
Mh sana alikuwa anashambuliwa na makombora ya kutoka mbali kwa sasa anapigwa na makombora yanayopigwa kutokea sebuleni kwake.
 

We sibure
 
Nyie bavicha ni vituko sana, hivi kwenye jimbo lake mlitegemea wawe watu kumi kumpokea?
Usidhani kwamba kila anayepigania haki na usawa kwa mujibu wa katiba ya nchi ni wa kambi ya upinzani
 
Tuhabarishe jinsi alivyopambana kuwaondolea umasikini watu wa jimbo lake!
 
Sisi watanzania ni mbumbumbu ndio maana wanasiasa wanatuburuza watakavyo, sijui watanzania tulikula maharage ya wapi!? Tukishamchagua mbunge anahamishia makaazi Dar. siku akitumbuliwa ndo anajifanya kukumbuka wapiga kura wake nasi tulivyo manyumbu eti tunampokea kama shujaa! Inasikitisha sana
 
hahaha machozi ya samaki amelia kama Lissu.
 
Inakuwaje wenye hofu ya kushindwa kwa Magufuli ni vijana wa Bavicha tu? Sasa kama atashindwa huoni kama ni advantage kwenu? Vitu vingine vinachekesha. Huoni ulivyomstua sasa atabadili uelekeo. Yaani hamuachi kumtaja taja kama vile ana wanyima usingizi😀😀
 
Wantanzania leo munamwita Nape kuwa alikuwa jembe kaw lipi alilolifanya tangu amekuwa mwanasiasa?
Moja ya watu ambao ni mizigo kwa ccm japo walibebeka sana.
Kafanya nini jimboni kwake cha kujivunia kwetu sisi wananchi wake tuliomchagua?

"Ukiona adui anakusifia geuka nyuma uone umekosea wapi".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…