Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

Bukoba aliwaambia mwafaaa asitegemea kura..Dar ccm wajitayarishe kupoteza majimbo yote..Simiyu hawana hamu na ccm..Na sasa Mikoa ya Kusini ndio balaa imeanza kwa ccm..Mikoa ya Kaskazini ccm ilishafutwa
 
Hahahaha Nape keshakuwa mbaya wenu, wasikuma kweli mko juu
 
Wanaomsifia NAPE ni wanafiki...Hao hata Bashite akiamua kutoka CCM leo na kujiunga na upinzani wataanza kumsifia...
 
Hakuna cha ajabu huko..watu wana njaa sana jimboni kwake..hawana jipya toka nape aingie..wamepewa senti na wamekodishiwa fuso za kuwabeba..hakuna kumbukumbu yoyote kuwa nape amewahi kukubalika jimboni..
 
Muda ndio kiboko yenu.
 
Uchaguzi upi.?

Hemu fanyeni kazi bana,uchaguzi utasubiri baada ya minyoosho kumalizika kwanza..
 
Mtaisoma namba 2020 ushindani utakuwa sio wa kitoto.
Sio wa team mbowe!
Bukoba aliwaambia mwafaaa asitegemea kura..Dar ccm wajitayarishe kupoteza majimbo yote..Simiyu hawana hamu na ccm..Na sasa Mikoa ya Kusini ndio balaa imeanza kwa ccm..Mikoa ya Kaskazini ccm ilishafutwa
mbona hujamalizia kule kunakoamuaga matokeo??
Ukawa is dead, chadema watasimama kivyao na kura za mwambao na uislamuni wasahau, ni za cuf inayotambuliwa, ya Lipumba! Endeleeni kukenua hamjaona kilicho mbele yenu!
 
Uchaguzi upi.?

Hemu fanyeni kazi bana,uchaguzi utasubiri baada ya minyoosho kumalizika kwanza..
 
Tumeipenda wenyewe ndindi
Chaguo letu wenyewe ndindi
Na wavimbe wapasuke ndindi
watajijua wenyewe

Wacha waisome namba eeeh (watasoma naambaaaa)
CCM mbele kwa mbele (mbele kwa mbeleeee)

Rudia ubeti huu mara 2
 
Uchaguzi upi.?

Hemu fanyeni kazi bana,uchaguzi utasubiri baada ya minyoosho kumalizika kwanza..
 
Dau limepanda nini, kwani sasa hivi mnalipwa tshs ngapi dada??
 
Pumzika ulishazeeka umri ni shidaa, mawazo na akili ipo kwa wajukuu
 
... Nimeona ITV wakina mama wamelala chini kwa mstari na kwamba Nape kwa heshima ya kwao apite akiwakanyaga mgongoni, sikuona mpaka mwisho je alipita akiwakanyaga miongoni na makalioni mwao? Kwa aliye ona mpaka mwisho please....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…